Hili suala likemewe vikali JF na kwenye magroups

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
[emoji1318]
WAKUU,
KWENYE MA_GRUPU KUNA MAMBO YA KIBOYA SANA!!!

UNAKUTA MTU ANAKUITA MAJINA MAZURI_MAZURI MPAKA UNAONA HAPA SASA ND'O WAKATI MWAFAKA WA KUFANYA MICHAKATO YA KIBAHARIA-

UKIENDA INBOX KUTENGENEZA MUSTAKABALI,
ANAKWAMBIA YE' HAMAANISHI HIVYO,
BALI ANACHANGAMSHA GRUPU TU.

INAUMA HIYO WAKUU!!!

SHENDHI!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] usikubali mzee baba mkomalie hadi mwisho, anakupetije aseme hakumaanisha
 
Soma umalize shule kijana haya mapenzi yapo tu
[emoji1318]
WAKUU,
KWENYE MA_GRUPU KUNA MAMBO YA KIBOYA SANA!!!

UNAKUTA MTU ANAKUITA MAJINA MAZURI_MAZURI MPAKA UNAONA HAPA SASA ND'O WAKATI MWAFAKA WA KUFANYA MICHAKATO YA KIBAHARIA-

UKIENDA INBOX KUTENGENEZA MUSTAKABALI,
ANAKWAMBIA YE' HAMAANISHI HIVYO,
BALI ANACHANGAMSHA GRUPU TU.

INAUMA HIYO WAKUU!!!

SHENDHI!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
 
ID yako inasoma 2013 sikutegemea unaweza kua naubongo marijuana kiasi hiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiitwa Baby anapagawa.. nilikuwa naishi karibu na hostel za TIA mbeya aisee wale wadada wakianza kukuita majina matamu utasema unagongaa keshoo kumbe[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Afu inaonekana huyu jamaa anatumia ID ya mtu haiwezekani mtu wa 2013 awe nauandishi wanamna hii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
itakuwa ni mtoto bado[emoji23][emoji23][emoji23] Me chuo kuna demu tulikuwa tunaitana Mpenzi lakini hata kumkiss sijawahii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana Mkuu, wenzio huku tumeshafaidi Sanaa mpaka sasa tunapeleka mahari ifuate ndoa.
 
Back
Top Bottom