Hili swala watanzania hua tunalichukulia poa ila hilo ndilo liloleta majanga zaidi October 2025

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
SIjawahi kuona hili likisemwa sana wala kuandikwa sana wengi hamjui au nahisi mnachukuliaga simple sana hili swala.

Na hilo jambo ndio limebaki kama nguzo pekee ya ccm ukitaka kuniamini kua Watanzania hua tunalichukulia poa kuna kiongozi juzi juzi kasema vyoombo vyote ni vya ccm..sijaona watu wakishinikiza Ccm iseme kitu...sijaona vyombo vya habar vikipeleka presha kwa hivi vyombo vijibu hizo allegations,

Why? Because hua tunalichukulia poa sana ila hilo jambo ndio limezaaa yale ya October 2025.

wanajeshi na Askari watiifu na wanaopenda kulinda Raia wake wasingeweza kufyatua Risasi vile..

Issue inaanzia mbali sana kwenye kuharibu hivi vyoombo inaanza kwenye
Recruitment ya watu wanaochukuliwa kwenye vikosi vyote vya ulinzi na usalama.

Kuanzia,
Usalama
Jeshi la wananchi
Polisi
Uhamiaji
Zimamoto
Tanapa

Yani kila idara ya Ulinzi na Usalama imeharibiwa na ccm na imefanywa kama kitenesi..Ujue Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni sawa na Kinga za Mwili!!

Why AIDs inasumbua because ina attack Kinga za Mwili je utakua salama? Answer NO...kila ugonjwa ukija utakubeba because kinga zipo chini.

Ndio kitu ccm wamefanya wameharibu mifumo ya vyombo vyetu hivi na hili gwajima aliwahi lisema kipindi kile.

Chukua mfano mtu saiv anaenda JKT akiwa na ari kabisa ya kulitumikia Taifa anafika kule anajitolea miaka 2 anamaliza hapat hata umagereza anarudi home anaanza kuapply anatoa RUSHWA hadi Million 6 ila bado hapat post,

Wengine wanahonga hadi 10M ndio anapata nikuulize wewe huyu mtu katoa wapi 10M si familia imekopa?

Akiinga huko siku kinaundwa kikosi sio Rasmi kinapewa TASK kikamteke Paskali Mayalla na wanapewa mshiko wa 5M atagoma?

Remind you mshahara hautoshi kulipa deni hapo anaona kuna M ya chaaap ataacha?

Machafuko yale ya October unahisi hawakupewa hela walipewa kama pongezi na hela hizo wakatumia kulipa maden nyumban.

So ccm wameharibu sana hii Nchi..leo hii usalama wa Taifa ndugu na watoto wa wazito wanaenda tu kule kama chuo cha ZAYON.

Uharibifu wa Nchi hii upo huko, na CCM ndio watakaokuja leta Machafuko Nchini..na sio CHADEMA hata.

WHY? Because wao wakikutana na kizingiti wanatoa Amri tu kwa hivi vyombo.

Wakiona hawawez tumia kikosi chote wanachukua sample wanaunda kikosi maalumu cha mauaji wanaanza kufanya yale tunayokua tunayasikia leo.

Nao wanatekeleza because wanalipwa kwa kufanya vile na wanajua shida walizo nazo walizozipata kwenye kuipata kazi hio zina waangalia.

Safari yetu bado sana...tupo pabaya sana.
 
Toa solution! Houthis?
 
nonsense :1Head:
 
Wewe Ogopa makamu wa Raisi anapotea na watu wako kimyaa.

Hii nchi saivi iko kama haina kiongozi.

yalitokea yana weza kujirudia mara tano dhambi zote tutawatwisha ccm.
Yani yaliyotokea yameisha na neno TO BE CONTINUNED kama video za mziki
 
SIjawahi kuona hili likisemwa sana wala kuandikwa sana wengi hamjui au nahisi mnachukuliaga simple sana hili swala.

Na hilo jambo ndio limebaki kama nguzo pekee ya ccm ukitaka kuniamini kua Watanzania hua tunalichukulia poa kuna kiongozi juzi juzi kasema vyoombo vyote ni vya ccm..sijaona watu wakishinikiza Ccm iseme kitu...sijaona vyombo vya habar vikipeleka presha kwa hivi vyombo vijibu hizo allegations,

Why? Because hua tunalichukulia poa sana ila hilo jambo ndio limezaaa yale ya October 2025.

wanajeshi na Askari watiifu na wanaopenda kulinda Raia wake wasingeweza kufyatua Risasi vile..

Issue inaanzia mbali sana kwenye kuharibu hivi vyoombo inaanza kwenye
Recruitment ya watu wanaochukuliwa kwenye vikosi vyote vya ulinzi na usalama.

Kuanzia,
Usalama
Jeshi la wananchi
Polisi
Uhamiaji
Zimamoto
Tanapa

Yani kila idara ya Ulinzi na Usalama imeharibiwa na ccm na imefanywa kama kitenesi..Ujue Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni sawa na Kinga za Mwili!!

Why AIDs inasumbua because ina attack Kinga za Mwili je utakua salama? Answer NO...kila ugonjwa ukija utakubeba because kinga zipo chini.

Ndio kitu ccm wamefanya wameharibu mifumo ya vyombo vyetu hivi na hili gwajima aliwahi lisema kipindi kile.

Chukua mfano mtu saiv anaenda JKT akiwa na ari kabisa ya kulitumikia Taifa anafika kule anajitolea miaka 2 anamaliza hapat hata umagereza anarudi home anaanza kuapply anatoa RUSHWA hadi Million 6 ila bado hapat post,

Wengine wanahonga hadi 10M ndio anapata nikuulize wewe huyu mtu katoa wapi 10M si familia imekopa?

Akiinga huko siku kinaundwa kikosi sio Rasmi kinapewa TASK kikamteke Paskali Mayalla na wanapewa mshiko wa 5M atagoma?

Remind you mshahara hautoshi kulipa deni hapo anaona kuna M ya chaaap ataacha?

Machafuko yale ya October unahisi hawakupewa hela walipewa kama pongezi na hela hizo wakatumia kulipa maden nyumban.

So ccm wameharibu sana hii Nchi..leo hii usalama wa Taifa ndugu na watoto wa wazito wanaenda tu kule kama chuo cha ZAYON.

Uharibifu wa Nchi hii upo huko, na CCM ndio watakaokuja leta Machafuko Nchini..na sio CHADEMA hata.

WHY? Because wao wakikutana na kizingiti wanatoa Amri tu kwa hivi vyombo.

Wakiona hawawez tumia kikosi chote wanachukua sample wanaunda kikosi maalumu cha mauaji wanaanza kufanya yale tunayokua tunayasikia leo.

Nao wanatekeleza because wanalipwa kwa kufanya vile na wanajua shida walizo nazo walizozipata kwenye kuipata kazi hio zina waangalia.

Safari yetu bado sana...tupo pabaya sana.
Mkuu 'The First Born', uchambuzi wako umefungua milango ya hoja nzito sana, na ukiangalia michango ya wadau hapa chini utabaini kuwa hili sio swala la kuchukulia poa hata kidogo.
Kimtazamo wa kiusalama na kitaasisi, nchi inapofikia hatua hii tunazungumzia 'State Capture' (Kutekwa kwa Dola), ambapo mifumo yote ya umma inalazimishwa kutumikia maslahi ya chama tawala badala ya kufuata Katiba na sheria zilizopo. Athari za jambo hili ni kubwa kuliko wengi wanavyofikiria, na tunaweza kuzigawa katika maeneo makuu matatu:
1. Kufa kwa Uzalendo (Erosion of National Cohesion):
Kama alivyogusia mdau mmoja humu jukwaani, uzalendo umekufa kwa sababu mifumo yote imevurugwa. Hakuna raia anayeweza kuwa na uzalendo wa dhati kwa taifa lake ikiwa anaona wazi kuwa vigezo vya mafanikio vimehama kutoka kwenye sifa za mtu (meritocracy) na kuhamia kwenye kadi ya chama au undugu. Kijana anayejitolea JKT kwa miaka miwili kisha akalazimika kuhonga mamilioni ili kupata nafasi ya kulinda nchi yake, anakuwa haingii kazini kizalendo; anakuwa 'Mercenary' (mamluki) anayetafuta mbinu za kurudisha fedha zake. Huu ni uharibifu wa kisaikolojia unaozalisha watu hatari ndani ya majeshi yetu.
2. Ajira za Siri na Undugu kwenye Idara Nyeti:
Hoja ya mdau tungatagaga inaleta swali la msingi sana la uwajibikaji: Kama ajira za Usalama wa Taifa na vikosi nyeti hazitangazwi kwa uwazi, wanaoajiriwa wanatoka wapi? Ukweli mchungu ni kwamba ukosefu wa uwazi unatoa mwanya kwa viongozi wa CCM na wazito serikalini kuzifanya idara hizi kama mirathi ya familia zao. Matokeo yake ni kwamba, tunapata watendaji wa usalama wasio na weledi, wasiosikia umma unasema nini, na ambao utii wao upo kwa 'walioingiza' na sio kwa wananchi au taifa. Hapa ndipo vinapozaliwa vikosi visivyo rasmi vinavyotekeleza amri haramu bila kusita.
3. Ombwe la Kiuongozi na Kupotea kwa Uwajibikaji:
Mdau chuma cha mjerumani amegusa kiini cha hofu ya sasa mtaani kwa kusema nchi inafanana na 'haina kiongozi'. Matukio makubwa ya kisiasa—kama vile sintofahamu inayozunguka mabadiliko ya ghafla, kujiuzulu, na kutoonekana hadharani kwa aliyekuwa Makamu wa Rais hivi karibuni—huku mamlaka zikikaa kimya bila kutoa maelezo ya uwazi kwa umma, inaleta picha ya nchi inayoendeshwa kwa siri kubwa za ndani badala ya misingi ya utawala bora. Jamii inapoona hata viongozi wa juu wa nchi wanaweza kukumbwa na sintofahamu kisha kusiwe na maelezo rasmi yanayoridhisha, wananchi wanapoteza imani kabisa na usalama wao wa kila siku.
Nini Mustakabali Wetu?
Kama tukio la Oktoba 2025 lilivyotupa somo la umwagaji damu na vurugu, dhambi hizi zote zitaendelea kukiangukia chama tawala kwa sababu kimeshindwa kutofautisha kati ya 'Chama' na 'Dola'. Ili kujinusuru na majanga yanayoweza kujirudia mara tano zaidi, nchi inahitaji kwa haraka sana Mageuzi ya Sekta ya Ulinzi na Usalama (Security Sector Reform). Lazima kuwepo na mifumo ya wazi ya ajira, na kuanzishwa kwa Vyombo Huru vya Kiraia vya Kusimamia Malalamiko (Independent Oversight Bodies) ili askari anayevunja sheria na kudhuru raia awajibishwe kibinafsi.
Bila mabadiliko haya ya kiutawala na kikatiba, bomu hili la siasa, undugu, na rushwa ndani ya idara za ulinzi litakuja kulipuka vibaya sana mikononi mwao wenyewe.
 
Ndio maana tumaini liliboki kwa wananchi saizi ni kushangilia vifo tu viongozi wakikata moto maana wao wana siraha sisi tuna mikono tu.
 
Back
Top Bottom