Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
 
ilo Tangazo lina harufu ya utapeli...!
Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.

Watu tunatakiwa kuongeza upana wa kufikiri kwenye hili swala la shule za dini
1. Kuna shule za dini (general)
2. Kuna shule za dini (seminary)

Ukiona wanaweka kigezo cha dini fahamu tu kuwa mfumo wa taasisi hiyo ni seminary hivyo ukiajiriwa utapangiwa kuendesha au kusimamia wanafunzi kwenye ibada kama vile misa-kanisani, ibada ya kusoma Quran-msikitini.ka
Bila shaka watampata ndugu yao katika imaan. InshaAllah.

Mtu aliyesoma fani yoyote anaruhusiwa kufundisha ?
Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?
 
Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.

Watu tunatakiwa kuongeza upana wa kufikiri kwenye hili swala la shule za dini
1. Kuna shule za dini (general)
2. Kuna shule za dini (seminary)

Ukiona wanaweka kigezo cha dini fahamu tu kuwa mfumo wa taasisi hiyo ni seminary hivyo ukiajiriwa utapangiwa kuendesha au kusimamia wanafunzi kwenye ibada kama vile misa-kanisani, ibada ya kusoma Quran-msikitini.ka

Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?
Hakuna Saint ukutane na Maulid Juma.. labda awe mlinzi.
 
Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.

Watu tunatakiwa kuongeza upana wa kufikiri kwenye hili swala la shule za dini
1. Kuna shule za dini (general)
2. Kuna shule za dini (seminary)

Ukiona wanaweka kigezo cha dini fahamu tu kuwa mfumo wa taasisi hiyo ni seminary hivyo ukiajiriwa utapangiwa kuendesha au kusimamia wanafunzi kwenye ibada kama vile misa-kanisani, ibada ya kusoma Quran-msikitini.ka

Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?
Shule za Saints huwa zinaangalia zaidi output ya mtu. Na siyo imani yake. Na ndiyo maana kwenye shule zao utawakuta wanafunzi kutoka dini zote, na pia walimu kutoka dini zote.

Na kama kuna mtu haamini, basi aje hapa Lushoto, kwenye shule ya St. Mary's Mazinde juu.
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Hivi
Huwa
Hivyo

Nitarudi kuchangia mada.
 
Nipeni dili ilo nipeni dili nikamate ma ela Niko tayari kufundisha advanced, iyo physics na advance mathematics
 
Mkuu kwani kuna tatizo taasisi kutoa pendekezo la mfanyakazi wanaeona anawafaa ?
Mtoa post anatakiwa aelewe taasisi inapotaka kuajiri mtu lažima kuna nafasi wazi ambayo ina majukumu yanayotakiwa kitekelezwa na sifa za mtu wanayemtaka aina ya watu atakaofanya nao kaži na vitu vingi ambavyo kaži husika inahitaji huv vigezo lažima viwepo ndio maana una matangazo mingine wameweka kigezo muombaji awe na miaka kuanzia 40 au muombaji asizidi miaka 20. Au muombaji awe mwanamke au mwanaume.
Hii inasaidia kuondoa usumbufu Kwa watafuta ajira kuomba kaži ambayo haitajiwi, hata Kwa waajiri kupunguza wingi wa maombi usio na lazima
 
Kabisa mkuu
 
Mtu aliyesoma fani yoyote anaruhusiwa kufundisha ?
Ndio anaruhusiwa shule za private pia anaruhusiwa hata kupiga ndondo government.

Kwa mfano kuna wakali wa PCM ila hawakusomea ualimu walisoma mambo mengine. Huyu anawezesha kufundisha masomo ya PCM vizuri sana japo hajasomea kufundisha.
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Ingekuwa kufundisha kuimba qaswidah mwamba adriz angeshachangamia fursa zamani. Tena anafundisha huku kavaa msuli na kobaz.
 
Back
Top Bottom