Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Wana wa mnyaaazi mungu! Kigezo kuvaa makubazi!
 
Hapa kwenye mshahara kutokuwa na mbamba, ni pa kujiuliza sana hukawii ombewa dua wakati pesa yako yasekwa
Hapo ukidai mshahara unarukiwa au kipigwa carate😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom