Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

Mkuu kwani kuna tatizo taasisi kutoa pendekezo la mfanyakazi wanaeona anawafaa ?

Hivi unaweza kwenda Segerea seminary au Ndanda seminary ukakuta mwalimu ni muisilamu pyua?
Wapo wengi
 
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
Ngoja tubalance mzani:
  • Hizi huitwa sifa za ziada, Wamezingatia hizo sifa za ziada kuingana na Taasisis husika, Mfano zipo shule za Makanisa (mfano Wasabato) nao huweka wazi sifa za zaida, kwamba muajiriwa awe wa mlengo huo, Msabato.
 
Hapo hawajaandika ni sifa za ziada Wewe ndo unasema sifa za ziada
 
"Ila ni vyema kuweka mawazo Chanya kwa swala ambalo kidogo unaona / tunaona kuna dosari/walakini , na kushika hamsini zako/zetu, huu ndio uungwa." - Nukuu toka kwa Mhenga mmoja.

=
My take: Baadhi ya vigezo/sifa huwa haitakiwi kuwekwa kwa public bali inapaswa kuwa ni jukumu la wahusika wa usaili kuchuja waomba ajira kwa vigezo vya taasisi husika ili kutokujenga taswila hasi katika Jamii,
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Hapa kwenye mshahara kutokuwa na mbamba, ni pa kujiuliza sana hukawii ombewa dua wakati pesa yako yasekwa
 
Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.

Watu tunatakiwa kuongeza upana wa kufikiri kwenye hili swala la shule za dini
1. Kuna shule za dini (general)
2. Kuna shule za dini (seminary)

Ukiona wanaweka kigezo cha dini fahamu tu kuwa mfumo wa taasisi hiyo ni seminary hivyo ukiajiriwa utapangiwa kuendesha au kusimamia wanafunzi kwenye ibada kama vile misa-kanisani, ibada ya kusoma Quran-msikitini.ka

Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?
Ivi ni sahihi kuita shule ya kiislamu SEMINARY?
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Hawajakosea japo kuna dalili za utapeli, cv zinatumwa kwa whatsapp?
 
Ngoja tubalance mzani:
  • Hizi huitwa sifa za ziada, Wamezingatia hizo sifa za ziada kuingana na Taasisis husika, Mfano zipo shule za Makanisa (mfano Wasabato) nao huweka wazi sifa za zaida, kwamba muajiriwa awe wa mlengo huo, Msabato.
Na awe amesomea fani yeyote... Walivyimaanidha hata kama aliyesomea uchumi chuo kikuu ila kama advace alisoma mathematics anakuwa eligible kuajiriwa... Nonsense
 
Unaweza kuingiza $100+. Kuna website unaweza kufanya task mbalimbli na ukalipwa hapo hapo,
Jana nimejaribu kutest nimelipwa $2, haikuchukua dakika nyingi sana.

Ukiwa serious unaweza kumake parefu
Unatka kuwa tapeli watu kwenye Uzi huu
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Ni bora hivi , kuliko kuficha ficha kumbe wana wa aina flani wanamtaka
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Sasa shule ya kiislamu kuweka kigezo cha dini kuna makosa hapo?
 
Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?

Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
  • Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Mbambamba imehqribu tangazo zima
 
Back
Top Bottom