Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.ilo Tangazo lina harufu ya utapeli...!
Bila shaka watampata ndugu yao katika imaan. InshaAllah.
Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?Mtu aliyesoma fani yoyote anaruhusiwa kufundisha ?
Hakuna Saint ukutane na Maulid Juma.. labda awe mlinzi.Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.
Watu tunatakiwa kuongeza upana wa kufikiri kwenye hili swala la shule za dini
1. Kuna shule za dini (general)
2. Kuna shule za dini (seminary)
Ukiona wanaweka kigezo cha dini fahamu tu kuwa mfumo wa taasisi hiyo ni seminary hivyo ukiajiriwa utapangiwa kuendesha au kusimamia wanafunzi kwenye ibada kama vile misa-kanisani, ibada ya kusoma Quran-msikitini.ka
Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?
Shule za Saints huwa zinaangalia zaidi output ya mtu. Na siyo imani yake. Na ndiyo maana kwenye shule zao utawakuta wanafunzi kutoka dini zote, na pia walimu kutoka dini zote.Nimewauliza Aya ndo majibu Yao hapo chini.
Watu tunatakiwa kuongeza upana wa kufikiri kwenye hili swala la shule za dini
1. Kuna shule za dini (general)
2. Kuna shule za dini (seminary)
Ukiona wanaweka kigezo cha dini fahamu tu kuwa mfumo wa taasisi hiyo ni seminary hivyo ukiajiriwa utapangiwa kuendesha au kusimamia wanafunzi kwenye ibada kama vile misa-kanisani, ibada ya kusoma Quran-msikitini.ka
Ila awe muislamu, ndo niliposhangaa ,ivi izi saints uwa walimu WA dini tofauti na wakristo hawaruhusiwi?
HiviIvi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?
Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
- Muislamu
- Jinsia ya kiume
- Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Acha kuwachafulia maana Katoro Islamic Seminary pamoja na madhaifu yake lakini ni Seminary inayofanya vizuri ukilinganisha na Seminaries zingine za kiislamitakuwa ni katoro islamic iliyopo bukoba vijijini mkoa wa kagera
Nipeni dili ilo nipeni dili nikamate ma ela Niko tayari kufundisha advanced, iyo physics na advance mathematicsIvi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?
Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo:
1. Advanced Maths & Physics (1 teacher)
2. English & Kiswahili (1 teacher).
Sifa:
Mshahara mnono hawana mbamba kwenye malipo.
- Muislamu
- Jinsia ya kiume
- Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa masomo husika.
Tuma VYETI na CV: 0693900148.
Mtoa post anatakiwa aelewe taasisi inapotaka kuajiri mtu lažima kuna nafasi wazi ambayo ina majukumu yanayotakiwa kitekelezwa na sifa za mtu wanayemtaka aina ya watu atakaofanya nao kaži na vitu vingi ambavyo kaži husika inahitaji huv vigezo lažima viwepo ndio maana una matangazo mingine wameweka kigezo muombaji awe na miaka kuanzia 40 au muombaji asizidi miaka 20. Au muombaji awe mwanamke au mwanaume.Mkuu kwani kuna tatizo taasisi kutoa pendekezo la mfanyakazi wanaeona anawafaa ?
Kabisa mkuuMtoa post anatakiwa aelewe taasisi inapotaka kuajiri mtu lažima kuna nafasi wazi ambayo ina majukumu yanayotakiwa kitekelezwa na sifa za mtu wanayemtaka aina ya watu atakaofanya nao kaži na vitu vingi ambavyo kaži husika inahitaji huv vigezo lažima viwepo ndio maana una matangazo mingine wameweka kigezo muombaji awe na miaka kuanzia 40 au muombaji asizidi miaka 20. Au muombaji awe mwanamke au mwanaume.
Hii inasaidia kuondoa usumbufu Kwa watafuta ajira kuomba kaži ambayo haitajiwi, hata Kwa waajiri kupunguza wingi wa maombi usio na lazima
Ndio anaruhusiwa shule za private pia anaruhusiwa hata kupiga ndondo government.Mtu aliyesoma fani yoyote anaruhusiwa kufundisha ?
Ingekuwa kufundisha kuimba qaswidah mwamba adriz angeshachangamia fursa zamani. Tena anafundisha huku kavaa msuli na kobaz.Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo?