Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

Mkuu kwani kuna tatizo taasisi kutoa pendekezo la mfanyakazi wanaeona anawafaa ?

Hivi unaweza kwenda Segerea seminary au Ndanda seminary ukakuta mwalimu ni muisilamu pyua?
Wapo wengi
 
Sifa:
  • Muislamu
  • Jinsia ya kiume
Ngoja tubalance mzani:
  • Hizi huitwa sifa za ziada, Wamezingatia hizo sifa za ziada kuingana na Taasisis husika, Mfano zipo shule za Makanisa (mfano Wasabato) nao huweka wazi sifa za zaida, kwamba muajiriwa awe wa mlengo huo, Msabato.
 
Hapo hawajaandika ni sifa za ziada Wewe ndo unasema sifa za ziada
 
Hapo hawajaandika ni sifa za ziada Wewe ndo unasema sifa za ziada
"Ila ni vyema kuweka mawazo Chanya kwa swala ambalo kidogo unaona / tunaona kuna dosari/walakini , na kushika hamsini zako/zetu, huu ndio uungwa." - Nukuu toka kwa Mhenga mmoja.

=
My take: Baadhi ya vigezo/sifa huwa haitakiwi kuwekwa kwa public bali inapaswa kuwa ni jukumu la wahusika wa usaili kuchuja waomba ajira kwa vigezo vya taasisi husika ili kutokujenga taswila hasi katika Jamii,
 
Hapa kwenye mshahara kutokuwa na mbamba, ni pa kujiuliza sana hukawii ombewa dua wakati pesa yako yasekwa
 
Ivi ni sahihi kuita shule ya kiislamu SEMINARY?
 
Hawajakosea japo kuna dalili za utapeli, cv zinatumwa kwa whatsapp?
 
Ngoja tubalance mzani:
  • Hizi huitwa sifa za ziada, Wamezingatia hizo sifa za ziada kuingana na Taasisis husika, Mfano zipo shule za Makanisa (mfano Wasabato) nao huweka wazi sifa za zaida, kwamba muajiriwa awe wa mlengo huo, Msabato.
Na awe amesomea fani yeyote... Walivyimaanidha hata kama aliyesomea uchumi chuo kikuu ila kama advace alisoma mathematics anakuwa eligible kuajiriwa... Nonsense
 
Unatka kuwa tapeli watu kwenye Uzi huu
 
Ni bora hivi , kuliko kuficha ficha kumbe wana wa aina flani wanamtaka
 
Sasa shule ya kiislamu kuweka kigezo cha dini kuna makosa hapo?
 
Mbambamba imehqribu tangazo zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…