Hili tangazo la Azam TV fainali ya 2 CAFCC limekosa uhalisia

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,898
Reaction score
40,547
Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
 
Kwa hiyo ni kama tangazo la chagua kikwete la mwaka 2010 ambalo mpaka Sasa lipo buguruni sokoni
Hahahahaa mkuu umenikumbusha kitu, kuna Tangazo la chagua Benson Kigaila awe President au vice president km sikosei wa Serikali ya wanafunzi Udsm... Hilo Tangazo nililikuta 2009 pale udsm na mpaka namaliza chuo 2012 lile tangazo bado lillikuwepo pale Cafteria za Coet.. Halafu Benson Kigaila alishamaliza udsm kitambo sana miaka ya 90s na sasa hv ni mtu mzima sana mara G-55 mara chauma... sasa huwezi amini yawezekana lile tangazo linaweza kuwepo mpaka Leo..

Amini litakuwepo kumbe jamaa siasa kitambo kwa Sasa ameula chauma na ni mtu mzito ndani ya chama
 
Simba kafanyiwa hujuma za waziwazi
Nadhani kuna haja ya kuwaachia mashindano yao waendelee nayo
 
azam hawana watu ma professional
Nimeamini kabisa. Kuna matangazo yanaendelea mfano Mechi ya robo fainali ni.1 FA mpaka Juzi inatangazwa Kwa vile tangazo liliunganishwa na robo fainali no.2.
 
Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu.

Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
Azam huwa wanarudia rudia matangazo hata baada ya tukio kupita.Hata vipindi na makala wanarudia hadi kero
 
Back
Top Bottom