azam hawana watu ma professionalTangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu.
Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
Hahahahaa mkuu umenikumbusha kitu, kuna Tangazo la chagua Benson Kigaila awe President au vice president km sikosei wa Serikali ya wanafunzi Udsm... Hilo Tangazo nililikuta 2009 pale udsm na mpaka namaliza chuo 2012 lile tangazo bado lillikuwepo pale Cafteria za Coet.. Halafu Benson Kigaila alishamaliza udsm kitambo sana miaka ya 90s na sasa hv ni mtu mzima sana mara G-55 mara chauma... sasa huwezi amini yawezekana lile tangazo linaweza kuwepo mpaka Leo..Kwa hiyo ni kama tangazo la chagua kikwete la mwaka 2010 ambalo mpaka Sasa lipo buguruni sokoni
Kwa hiyo ni kama tangazo la chagua kikwete la mwaka 2010 ambalo mpaka Sasa lipo buguruni sokoni
Amini litakuwepo kumbe jamaa siasa kitambo kwa Sasa ameula chauma na ni mtu mzito ndani ya chamaHahahahaa mkuu umenikumbusha kitu, kuna Tangazo la chagua Benson Kigaila awe President au vice president km sikosei wa Serikali ya wanafunzi Udsm... Hilo Tangazo nililikuta 2009 pale udsm na mpaka namaliza chuo 2012 lile tangazo bado lillikuwepo pale Cafteria za Coet.. Halafu Benson Kigaila alishamaliza udsm kitambo sana miaka ya 90s na sasa hv ni mtu mzima sana mara G-55 mara chauma... sasa huwezi amini yawezekana lile tangazo linaweza kuwepo mpaka Leo..
Mbn mapema ? Hii ni bila kuchokaSisi kama mnyama tumeshakata tamaa
Tunakamilisha ratiba tu
Hujuma ipi iliyofanyiwa Simba? Hujuma kafanyiwa na nani?Simba kafanyiwa hujuma za waziwazi
Nadhani kuna haja ya kuwaachia mashindano yao waendelee nayo
AllyKama namuona vile msemaji wa ile timu na kale Kamdomo kake!
Tumshawishi Mangungu na mwenzake Magori watoe tamko kama lile la kususia mechi ya tarehe 8 March, 2025!Simba kafanyiwa hujuma za waziwazi
Nadhani kuna haja ya kuwaachia mashindano yao waendelee nayo
CCM ndio katuhujumuSimba kafanyiwa hujuma za waziwazi
Nadhani kuna haja ya kuwaachia mashindano yao waendelee nayo
Azam huwa wanarudia rudia matangazo hata baada ya tukio kupita.Hata vipindi na makala wanarudia hadi keroTangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu.
Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
Kile siyo chama ni kijiwe cha waleviAmini litakuwepo kumbe jamaa siasa kitambo kwa Sasa ameula chauma na ni mtu mzito ndani ya chama
Kwa mujibu wa msajili wa vyama ndugu mutungi kile ni chama kikubwa na huenda ndio kikawa chama kikuu Cha upinzani siku Chache zijazoKile siyo chama ni kijiwe cha walevi