The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Nimemsikia masanja mkandamizaji anapigia debe mradi wa maji mwanga katika segment yake maarufu kama mtalii wa ndani.
Kwenye tangazo Hilo masanja anasema eti kwenye mradi ule zimetumika trilioni 335 fedha za kitanzania.
Hili jambo linawezekanaje wakati hiyo hela kwa uelewa wangu ni bajeti ya nchi kwa miaka walau 5?