Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina imani ya kishirikina na sijawahi kwenda kwa waganga ni issue inayonisumbua otherwise ningeenda kwa hao waganga may be wangenisaidia ni true story, nashangaa hata kuni accuse habari za waganga, kwa hiyo hili ni jukwaa la kusaidiana kiushauri au kushutumiana? Thanks kwa aliyesema niende church ni ushauri mzuri ila kum accuse mtu ni wa kishirikina wakati siyo hapo ndo sipo kabisa na sitakubali,