NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata kidogo kutumia mtandao.....
mitandao mingine kama halotel na voda nimeitumia haina hili tatizo
mitandao mingine kama halotel na voda nimeitumia haina hili tatizo