Nilitaka Atambue kuwa Kiswahili ni Lugha namba Mbili Africa baada ya Kiarabu.Wajaluo wapo tz,wengi tu!Sa sijui point yako nini?Kawaulize kama ni kweli,mi sijui.Ulipost kiswahili kwenye ukurasa wa rooney ndo iweje ulitaka ajue una bundles,mb kibao?Vitu vingine unatumia tu 'common sense'.
Ukifanya hivo usieke jina Kenya popote pale.Taja tz,mali ni yao utakuwa umefanya jambo linaloashiria ujirani mwema!Fursa nzuri sana hii kwa ss wakenya kujitangaza mitandaoni, acha nikalianzishe kule fb na insta!
Mimi nakienzi kiswahili kwa hivyo sina ubishi.Lakini kuongelesha mzungu au hata mchina kiswahili wakati unajaua vizuri haelewi,huo ni uboya!Afu unapata hata si kwenye mkutano ambapo kuna wakalimani!Kupenda kiswahili haimaanishi usijifunze lugha zingine iwe kiitaliano,Mandarin au hata kiingereza chenyewe!Nilitaka Atambue kuwa Kiswahili ni Lugha namba Mbili Africa baada ya Kiarabu.
We invented it, now we are spreading it kama vile Ukimwi.
What do u say?
Hujui tu wewe mzungu aogopwe ana nn? tumezuia kusafirisha mchanga wametufanya nn halafu mbona hii kitu wameitangaza sana wazungu wenyewe halaf ukiangalia Tz kuna vivutio vingi kibaya cha jitembeza kizuri cha jiuza nyie tangazeni vivutio vyenu sisi vyakwetu vitajiuza na endeleeni kusema kilimanjaro ni yenu mtajibebaWatz wanamuogopa mzungu kupindukia aisee.Simtangaze basi kwa wachina,wakorea au hata India?Biashara ndo ivo bana!Pesa si ni pesa wakija hata watalii wakinigeria kuona tukio hilo,shida iko wapi?Wah,wabongo bana mlichokosa ni nini?Ubongo au?
Huyo ni poyoyo ndio mana nimempotezea laiti angeona wazungu wanavyoipromote Tanzania kwenye social networks kwa hashtags wala hasingeamini, juzi Tanzania Tourism Board wame confirm number one leading advertising mean ni social media na wageni wengi many of their primary sources kuhusu Tanzania attraction zinatoka kwenye mitandaoniHujui tu wewe mzungu aogopwe ana nn? tumezuia kusafirisha mchanga wametufanya nn halafu mbona hii kitu wameitangaza sana wazungu wenyewe halaf ukiangalia Tz kuna vivutio vingi kibaya cha jitembeza kizuri cha jiuza nyie tangazeni vivutio vyenu sisi vyakwetu vitajiuza na endeleeni kusema kilimanjaro ni yenu mtajibeba
Wageni walikuja kukuletea mashtaka hawapati Huduma sababu ya language barrier??? Ndio mana nyie ni manyang'au uwezo wenu wa kufikiri haujai hata kwenye kisodaMimi nakienzi kiswahili kwa hivyo sina ubishi.Lakini kuongelesha mzungu au hata mchina kiswahili wakati unajaua vizuri haelewi,huo ni uboya!Afu unapata hata si kwenye mkutano ambapo kuna wakalimani!Kupenda kiswahili haimaanishi usijifunze lugha zingine iwe kiitaliano,Mandarin au hata kiingereza chenyewe!
Umepiga mulemule..ongeza bia nakuja kulipaTatizo wa tz wanapenda sana siasa. Mijadala yao ni siasa tu, yaani kila mbongo ni mwanasiasa
π π π Ni ukweli mchungu... penye ukweli huwa sina ubishi wa kijinga...Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope
Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....
Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub
Hahaaaa hahaaa. Nimekwisha mwambia mhudumu, zinakuja tanoUmepiga mulemule..ongeza bia nakuja kulipa
Fursa nzuri sana hii kwa ss wakenya kujitangaza mitandaoni, acha nikalianzishe kule fb na insta!
π π π Duh! Ulichoandika kina-reflect signature yako...Umepiga mulemule..ongeza bia nakuja kulipa
Ni ukweli tu kama haufatilii ila kiukweli Tanzania tunaongoza kuitangaza Tanzania mitandaoni wewe mwisho wako ni hapa JF so shut up.π π π Ni ukweli mchungu... penye ukweli huwa sina ubishi wa kijinga...
Hili neno linaonesha wewe ni mtu aina gani... ficha upumbavu wako kwani sina muda wa kubishana na wewe...so shut up.
Shut off your big bowl, eat that or piss offHili neno linaonesha wewe ni mtu aina gani... ficha upumbavu wako kwani sina muda wa kubishana na wewe...
Unababakia sana Wazungu mpaka unachanganyikiwa, sasa ngoja Mwezi ujao wanamuingiza Raila kwa nguvu ndo mtawajua kwamba Muzungu siyo Babako!
Kama unadhani hakuna jitihada za kutangaza jambo hilo basi sawa!Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope
Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....
Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub
Scientists long assumed lions were hard-wired to kill leopards on sight, until a wild lioness was caught on camera this week nursing a leopard cub.
The startling photographs, taken in Tanzania's Ngorongoro Conservation Area, are the first evidence of such inter-species bonding between predators that are normally mortal enemies.
"There is no other recorded case where a big cat in the wild has suckled a cub belonging to another species," Luke Hunter, president of Panthera, a wild cat conservation group, told Reuters in a telephone interview.
The lioness, known locally as "Nosikitok", is well known to scientists as she is radio-collared and monitored by KopeLion, a Tanzanian conservation NGO supported by Panthera.
The photos were taken on Tuesday and Hunter said that, as of Thursday, Nosikitok had returned to her pride some distance from where she was nursing the leopard cub, "so we are not sure what is going on now".
"It's possible the mother leopard retrieved the cub from what was a temporary lioness day care, but we just don't know," he said.