Hili tukio la Simba na chui lingetendeka Kenya tungelichangamkia, lakini Watz wapo wapo tu

Hili tukio la Simba na chui lingetendeka Kenya tungelichangamkia, lakini Watz wapo wapo tu

We jamaa umemjibu vizuri huyo mkaanga sumu kutoka mathare wazee wa flying toilets hili jambo limekuwa published na mitandao kadhaa ya tz na duniani mbona

Post sent using JamiiForums mobile app
Umeshindwa kunijibu wewe mwenyewe nini? Unashobokea mwanaume mwenzako huna akili zako?Nyie ndo wale wanaume wa marinda eti mnajiita mabraza duu eeh?Utakuwa mshamba tu wa vijiweni unadhani kila mkenya anakaa Nai,mi mkaazi wa Kajiado County baaba afu huyo mme wako ye mwenyewe hajielewi!Thie ukiumaga!
 
Mbona huyo Simba ana mkanda shingoni...sasa bado ni Wild au anafugwa kama Mbwa?
 
Lichangamkie Bas Ewe Mkenya Mwerevu Kuzid Watanzania Wote Dunia Hii,Nchi Yenu Imebarikiwa Kuliko Tanzania Na Nyie Mkaao Humo Mmebarikiwa Werevu. Lichangamkie Ewe Mkenya Maana Sie Watanzania Sio Wajanja Kama Nyie Werevu!!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Lichangamkie Bas Ewe Mkenya Mwerevu Kuzid Watanzania Wote Dunia Hii,Nchi Yenu Imebarikiwa Kuliko Tanzania Na Nyie Mkaao Humo Mmebarikiwa Werevu. Lichangamkie Ewe Mkenya Maana Sie Watanzania Sio Wajanja Kama Nyie Werevu!!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app

Tena sikawii, siunajua jinsi huwa tunakula sahani moja kwenye mlima Kilimanjaro ambao wazungu walitunyang'anya na kuwapa wazungu waliokua mabwana wenu Wajerumani.
 
Mlitaka watanzania watoke na vibwebwe washangilie simba kumnyonyesha chui?
 
Tena sikawii, siunajua jinsi huwa tunakula sahani moja kwenye mlima Kilimanjaro ambao wazungu walitunyang'anya na kuwapa wazungu waliokua mabwana wenu Wajerumani.
Ewe Mkenya Mwerevu,Chukua Mlima Kilimanjaro,Chukua Ziwa Victoria,Chukua Magufuli,Chukua Diamond,Chukua AliKiba,Chukua Ziwa Tanganyika,Chukua Ziwa Nyasa,Chukua Serengeti,Chukua Ngorongoro,Chukua Zanzibar,Chukua Selous,Chukua Saadani,Chukua Kila Kitu. Kuanzia Leo Kiite Ni Cha Kenya. Sie Watanzania Wapuuzi Hatuwezi Kuvitumia. Adi Nyerere Mchukueni,Ni Wa Kwenu,Baba Wa Taifa Lenu.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope

Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....

Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub

1597475.jpg


Scientists long assumed lions were hard-wired to kill leopards on sight, until a wild lioness was caught on camera this week nursing a leopard cub.

The startling photographs, taken in Tanzania's Ngorongoro Conservation Area, are the first evidence of such inter-species bonding between predators that are normally mortal enemies.

"There is no other recorded case where a big cat in the wild has suckled a cub belonging to another species," Luke Hunter, president of Panthera, a wild cat conservation group, told Reuters in a telephone interview.

The lioness, known locally as "Nosikitok", is well known to scientists as she is radio-collared and monitored by KopeLion, a Tanzanian conservation NGO supported by Panthera.

The photos were taken on Tuesday and Hunter said that, as of Thursday, Nosikitok had returned to her pride some distance from where she was nursing the leopard cub, "so we are not sure what is going on now".


"It's possible the mother leopard retrieved the cub from what was a temporary lioness day care, but we just don't know," he said.
Oneni Mungu alivyo wa ajabu,,anatuonyesha ni jinsi gani simba alivyo naupendo kuliko binadamu,,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Baadae mtasema Beckam na Usher wameletwa na Wakenya
 
Back
Top Bottom