Hili tukio la Simba na chui lingetendeka Kenya tungelichangamkia, lakini Watz wapo wapo tu

Hili tukio la Simba na chui lingetendeka Kenya tungelichangamkia, lakini Watz wapo wapo tu

Sibabaikii mzungu lakini ikuingie kwamba huyo mzungu ndiye mtalii. Wewe hapo lini unaweza kutoka kwenu Kolominje usafiri hadi Ngorongoro kwenda kumuona simba akimnyonyesha swara.
Mimi nimekua kwa namna moja nikiwa kwenye hii sector ya utalii bila ushabiki muamko wa kutembelea hifadhi za taifa kwa watanzania upo vizuri, tunauiita utalii wa ndani, ni mkubwa na unaridhisha as the matter of fact Soronera campsite pekee iliopo Serengeti inapokea Wanafunzi elfu 20 in each end of their academic terms annually. Sasa kuna zaidi ya
15 National Parks in Tanzania
 
Yaani wakenya akili zenu sijui ziko wapi.? Mlishasema mt kilimanjaro wenu. Mkaja mkasema olduvai gorge ipo Kenya. N.K yan hata hapo umeandika lakini kwa mtindo wa kuponda. Nataka nikuulize hiyo habari umeitoa wapi kama siyo kwenye mitandao ambayo nayo ni sehemu ya kupromote.
Ipo wizara husika ambayo inatimiza majukumu yake zipo taasisi kwa shughuli hiyo. Msipende kukurupuka shughulikieni vya kwenu kwanza.

Ushauri. Acheni kukurupuka mpambane na hali yenu[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Nokia Jeneza
 
Nyie mnaochangamkia mbona mnaambulia patupu? IAAF imedorora ?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Sikuhizi mnakuja na habari nyepesi zisizokuwa na mashiko
Screenshot_2017-07-15-15-45-13.png
Screenshot_2017-07-15-15-52-36.png
Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope

Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....

Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub

1597475.jpg

Scientists long assumed lions were hard-wired to kill leopards on sight, until a wild lioness was caught on camera this week nursing a leopard cub.

The startling photographs, taken in Tanzania's Ngorongoro Conservation Area, are the first evidence of such inter-species bonding between predators that are normally mortal enemies.

"There is no other recorded case where a big cat in the wild has suckled a cub belonging to another species," Luke Hunter, president of Panthera, a wild cat conservation group, told Reuters in a telephone interview.

The lioness, known locally as "Nosikitok", is well known to scientists as she is radio-collared and monitored by KopeLion, a Tanzanian conservation NGO supported by Panthera.

The photos were taken on Tuesday and Hunter said that, as of Thursday, Nosikitok had returned to her pride some distance from where she was nursing the leopard cub, "so we are not sure what is going on now".

"It's possible the mother leopard retrieved the cub from what was a temporary lioness day care, but we just don't know," he said.
 
Uko sahihi kiongozi ss watz hatujui kuchangamkia fursa. Ila kwa Habari za Udaku no 1.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wageni walikuja kukuletea mashtaka hawapati Huduma sababu ya language barrier??? Ndio mana nyie ni manyang'au uwezo wenu wa kufikiri haujai hata kwenye kisoda
Hii sasa ni nini hata hueleweki aisee.Kujadili hoja simpo kama hii ni shiida pia.Siko kwenye biashara ya kujaza tu uzi kama wewe aisee!Lekaa!
 
Hujui tu wewe mzungu aogopwe ana nn? tumezuia kusafirisha mchanga wametufanya nn halafu mbona hii kitu wameitangaza sana wazungu wenyewe halaf ukiangalia Tz kuna vivutio vingi kibaya cha jitembeza kizuri cha jiuza nyie tangazeni vivutio vyenu sisi vyakwetu vitajiuza na endeleeni kusema kilimanjaro ni yenu mtajibeba
We unaleta uswahili kwenye biashara eti kizuri chajitembeza?Hii sasa ndo lugha ya mvivu na mtu asiye na matumaini kabisaa maishani.Nani huyo aliyesema biashara ni matangazo?Kamtafte akufafanulie kwa mapana alichokusudia!?Maandaas!
 
Tumalizane na upinzani kwanza ndio tutageukia wanyama

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hata nyie. mnaweza kutusaidia kupigia debe mbona mlima Kilimanjaro mmeweza MK254
 
Tourism receipt 2016: Kenya = US$900m na Tanzania = US$2.3b. Huoni hata aibu kuzungumzia masuala ya utalii na Tanzania? Kwa ujinga wenu hata Uganda wanawaacha mbali kwa mapato ya utalii.
 
The most luxurious train in the world "ROVOS
FB_IMG_1500128988620.jpg
FB_IMG_1500128983689.jpg
RAIL" has arrived today with 75 tourists in Dar es Salaam 's TAZARA
FB_IMG_1500128991767.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We unaleta uswahili kwenye biashara eti kizuri chajitembeza?Hii sasa ndo lugha ya mvivu na mtu asiye na matumaini kabisaa maishani.Nani huyo aliyesema biashara ni matangazo?Kamtafte akufafanulie kwa mapana alichokusudia!?Maandaas!
tatizo mna wivu wa kike nyie wakenya naona hata wewe ni poyoyo kama tusingekuwa tunapromote tourism recently data zinaonesha tumepata wageni maarufu the issue is mwandishi wa hii habari mwenyewe hajaandika kwa mema so asitegemee atajibiwa mema mjinga mjibu kulingana na ujinga wake that all. Tangu lini wakenya mkatutakia mema? BBC swahili hata hii habari imekuwa promoted magazeti ya TZ mengi yameongelea hii issue kwenye mitandao imeandikwa sana sasa mjinga mmoja kutoka kenya mwenye wivu wake dhidi ya maendeleo ya Tz anatoka huko ameshiba zake mbege anaandika issue zisizokuwa na kichwa wala miguu
 
Heee!na nyie mmezidi.kila kitu fursa.sasa unafikiri mtalii atakuja kuangalia tukio ambalo limeshapita.
Ila mama wa mwenzio ni mama yako.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakenya mmngemla nyama huyo simba???

Post sent using JamiiForums mobile app
 
tatizo mna wivu wa kike nyie wakenya naona hata wewe ni poyoyo kama tusingekuwa tunapromote tourism recently data zinaonesha tumepata wageni maarufu the issue is mwandishi wa hii habari mwenyewe hajaandika kwa mema so asitegemee atajibiwa mema mjinga mjibu kulingana na ujinga wake that all. Tangu lini wakenya mkatutakia mema? BBC swahili hata hii habari imekuwa promoted magazeti ya TZ mengi yameongelea hii issue kwenye mitandao imeandikwa sana sasa mjinga mmoja kutoka kenya mwenye wivu wake dhidi ya maendeleo ya Tz anatoka huko ameshiba zake mbege anaandika issue zisizokuwa na kichwa wala miguu
We jamaa umemjibu vizuri huyo mkaanga sumu kutoka mathare wazee wa flying toilets hili jambo limekuwa published na mitandao kadhaa ya tz na duniani mbona

Post sent using JamiiForums mobile app
 
tatizo mna wivu wa kike nyie wakenya naona hata wewe ni poyoyo kama tusingekuwa tunapromote tourism recently data zinaonesha tumepata wageni maarufu the issue is mwandishi wa hii habari mwenyewe hajaandika kwa mema so asitegemee atajibiwa mema mjinga mjibu kulingana na ujinga wake that all. Tangu lini wakenya mkatutakia mema? BBC swahili hata hii habari imekuwa promoted magazeti ya TZ mengi yameongelea hii issue kwenye mitandao imeandikwa sana sasa m
Sasa hii insha yote umeiandika kwa madhumuni gani? Hata kuisoma sijaweza! Afu usipende kurukia vitu ovyo ovyo tu!Nilichoandika angalia ni nani yule nilikuwa najibu na alichosema ni nini!Acha kupenda umbea wewe!
 
Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope

Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....

Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub

1597475.jpg

Scientists long assumed lions were hard-wired to kill leopards on sight, until a wild lioness was caught on camera this week nursing a leopard cub.

The startling photographs, taken in Tanzania's Ngorongoro Conservation Area, are the first evidence of such inter-species bonding between predators that are normally mortal enemies.

"There is no other recorded case where a big cat in the wild has suckled a cub belonging to another species," Luke Hunter, president of Panthera, a wild cat conservation group, told Reuters in a telephone interview.

The lioness, known locally as "Nosikitok", is well known to scientists as she is radio-collared and monitored by KopeLion, a Tanzanian conservation NGO supported by Panthera.

The photos were taken on Tuesday and Hunter said that, as of Thursday, Nosikitok had returned to her pride some distance from where she was nursing the leopard cub, "so we are not sure what is going on now".

"It's possible the mother leopard retrieved the cub from what was a temporary lioness day care, but we just don't know," he said.
Wewe ndo umeiona huko ila page ya utalii Tanzania ndo iliko anzia hiyo taarifa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom