Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

I remember nkiwa form 2 Kuna ndugu mtoto wa shangazi alikuaga home tukawa tunaish nae...siku moja tukawa tumebaki wawil tu ndan Yuko sebleen akaniita akanza kuniambia nataka kukwambia kitu changu ila usimwambie mtu nikashtuka nkamuuliza kinahusu nini akaniambia kinahusu mapenzi akawa ananifata nlipokaa nlikimbia nikatoka nje nilikua sana niliogopa mama alivokuja nikamuhadithia kesho yake aliondolewa nyumbani.......mwingine alikua houseboy nilikua nmheshim sana kama kaka Io siku usiku kanitumia message ananiambia niende chumbani kwake na kesho yake alikua ndo anaondoka nlikataa.... mwingin rafiki wa baba alitokea mkoan akafiki home Io siku tuko wawili AnAanza kunitongoza na kutaka kunishika kifua nlikua mkali ......kwa kifup wazaz muwe makin na ndugu wa kiume na mabinti zenu
 
Shame on you
 
Mwenzio hamuamini babaake kisa matukio kama haya yaliyokukuta wewe. yeye kwake wanaume wote tupo hivyo. Na wewe humuamini hata babaako kisa hayo yaliyokutokea yamefanywa na wanaume?
 
Na wewe unaonekana ulikuwa mchoyo sana
 
Safi sana ulijua kuwaadabisha hao maharamia, huwa ninawaza wanaume sijui wana akili gani aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…