Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Asalamaleku jukwaa!

Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi.

Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu waliyapenda yale maji pamajo na ukweli kuwa ni ya baridi kupindukia.

Siku hiyo nikamkuta mtu mmoja anaogolea katika maji ya mto ule akiwa uchi (hakuwa na nguo ya ndani), lakini kilichonishangaza ni kuwa yule jamaa ni mweupe lakini uume wake ulikuwa wa rangi nyeusi tofauti na rangi ya mwili wake.

Hii hali ilinifanya nianze kutafakari kuwa inawezekanaje mtu anakuwa mweupe halafu dushelele lake ni jeusi kama la punda wa kufugwa. Nikaanza kuamini kuwa labda Mungu kweli yupo

Kwa msaada wa akili ya mbege nikaanza kuwaza kuwa labda wakati Mungu anamuumba mtu anaumba uume kivyake na mwili kivyake kisha akimaliza anauchomeka sehemu amabapo huo uume inapaswa kuchopekwa.

Kwa akili ya mbege nikawaza kuwa labda wakati Mungu anamuumba yule jamaa aliumba uume ambao ulipaswa upachikwe kwenye mwili wa mtu mweusi lakini isivyobahati ukachopekwa katika mwili wa mtu mweupe.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa Mungu hayupo lakini Kila nikikumbuka like tukio Kuna sauti inaniambia kuwa labda kweli Mungu yupo.

Harmful min -me mmeona manufaa ya mbege?.
 
Asalamaleku
walekum salwabarakatuham rahmatullah Sheikh
Kitten Supplies.jpeg
 
Asalamaleku jukwaa!

Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi.

Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu waliyapenda yale maji pamajo na ukweli kuwa ni ya baridi kupindukia.

Siku hiyo nikamkuta mtu mmoja anaogolea katika maji ya mto ule akiwa uchi (hakuwa na nguo ya ndani), lakini kilichonishangaza ni kuwa yule jamaa ni mweupe lakini uume wake ulikuwa wa rangi nyeusi tofauti na rangi ya mwili wake.

Hii hali ilinifanya nianze kutafakari kuwa inawezekanaje mtu anakuwa mweupe halafu dushelele lake ni jeusi kama la punda wa kufugwa. Nikaanza kuamini kuwa labda mungu kweli yupo na ndiye anayewezesha mboo kama ile kutokea.

Kwa msaada wa akili ya mbege nikaanza kuwaza kuwa labda wakati mungu anamuumba mtu anaumba uume kivyake na mwili kivyake kisha akimaliza anauchomeka sehemu amabapo huo uume inapaswa kuchopekwa.

Kwa akili ya mbege nikawaza kuwa labda wakati mungu anamuumba yule jamaa aliumba uume ambao ulipaswa upachikwe kwenye mwili wa mtu mweusi lakini isivyobahati ukachopekwa katika mweli wa mtu mweupe.

Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa mungu hayupo lakini Kila nikikumbuka like tukio Kuna sauti inaniambia kuwa labda kweli mungu yupo.

Harmful min -me mmeona manufaa ya mbege?.
hili andiko nalo limekaa ki mbegembege tu
 
Back
Top Bottom