Hili vumbi mjini noma sana; Wababa tuwe na hiyana, ukiona sketi imebinuliwa mbele yako fumba macho

Kwann usiweke hata picha 1 ya sketi iliyofunuliwa
 
Leo dar kumekucha na barid ,upepo..mvua zinakaribia
 
heeh Ukiandika neno M-a-r-inda bila kuweka videshi humu zinatokea nyota nyota
 
Labda yuko Mbeya maana sio kwa upepo huo na vumbi la kutosha
 
Vumbi na upepo kibao ila wapo macho hakuna kinachofumuliwa . Wapo macho wakihisi upepo wanaweka mambo sawa ,anaesubiri kuona atasubiri sana !!
 
Tena unaambiwa ni ukanda wote wa pwani, kuna jamaa yangu yupo Lindi boti yake imeng'oa nanga usiku wa manane bahati nzuri imeokotwa pembezoni ya bahari, ufukweni. Watu wote wachukue tahadhari hasa watumiaji wa vyombo vya usafiri majini.
Hatari hii
 
wale wenye nyumba mloweka mawe juu kubana bati kuweni makini!
mda wowote mnaweza kuta jiwe limetua kitandani
Hahahahh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…