gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,915
- 3,019
Yaani kibugumo uku hakufai...full maupepohii kipupwe siyo ya kawaida kwa DAR na ukanda wa pwani ya kaskazini tangu kuamkia jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kibugumo uku hakufai...full maupepohii kipupwe siyo ya kawaida kwa DAR na ukanda wa pwani ya kaskazini tangu kuamkia jana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]heeh Ukiandika neno M-a-r-inda bila kuweka videshi humu zinatokea nyota nyota
Aisee tuko pamoja kumbeMbezi mkuu
kibugumo ni siku zote kuko hivoYaani kibugumo uku hakufai...full maupepo
Hahahahawale wenye nyumba mloweka mawe juu kubana bati kuweni makini!
mda wowote mnaweza kuta jiwe limetua kitandani
njoo Buza mkuuNjoo Mbagala ushuhudie.
Umevaaje?Huku nilipo upepo unavuma balaa.