kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Sasa hivi Dar imevamiwa na maparachichi fulani hivi ambayo sio kama yale tulozoea ya Kilimanjaro, Arusha, Bukoba na Mbeya lakini sasa hivi yameingia maparachichi ya tofauti kabisa
Haya maparachichi amezagaa kila mahali na kila kona ya jiji la Dar es Salam
Swali haya maparachichi yanatoka wapi?Jee ni GMO?
Haya maparachichi amezagaa kila mahali na kila kona ya jiji la Dar es Salam
Swali haya maparachichi yanatoka wapi?Jee ni GMO?