Aah wapi,tukuyu hayo miaka mingi nyuma yalikuwepo,hayakuwa na soko.
wachina wakawadanganya wakate miti asili ya maparachichi.
Yalikua makubwa km kichwa cha mtoto.
Ndo kuleta mbegu hivi viduchu.
Wauze mbolea pia.
Hayo natural ulikua unapika ugali unaandaa chumvi na maharagwe mabichi parachichi moja watu wanne hammalizi huo ugali.
Likiisha unaenda nyuma ya nyumba unabeba lingine.
Yalikuwepo tu uani na yakiivaa yanaanguka.
Unalikuta hapo chini.
Nilikuta miti imekatwa miparachichi.
nilitukana sana.
Nikaambiwa ni wachina waliwashauri kukata wapande hivi vidogo km ngumi.
So wenzetu huko yalikotoka hawakuskiliza hawa macho ndogo.
Ndo unayaona sasa.
Uganda,Burundi,Rwanda yapo.