Yanatoka NjombeSasa hivi Dar imevamiwa na maparachichi fulani hivi ambayo sio kama yale tulozoea ya Kilimanjaro Arusha bukoba na mbeya lakini sasa hivi yameingia maparachichi ya tofauti kbs
Haya maparachichi amezagaa kila mahali na kila kona ya jiji la Dar es sallam
Swali haya maparachichi yanatoka wapi?Jee ni GMO?
Hii lugha huwa inanishangaza Sana... Kila kitu ukiuliza siku hizi unaambiwa ni Organic.Hayo maparachichi unayoyazungumzia yanatokea BURUNDI.
Ni Organic kabisa ondoa shaka..!
Sasa hivi Dar imevamiwa na maparachichi fulani hivi ambayo sio kama yale tulozoea ya Kilimanjaro Arusha bukoba na mbeya lakini sasa hivi yameingia maparachichi ya tofauti kbs
Haya maparachichi amezagaa kila mahali na kila kona ya jiji la Dar es sallam
Swali haya maparachichi yanatoka wapi?Jee ni GMO?
Mbona hamna picha
Daah hii ni aibu kubwa sana kama nchi kushindwa kujitosheleza hata na maparachichi...Yanatoka rwanda
Aiseeehayo maparachichi ni GMO, kwani yanachukua muda mfupi mti wake kukua, kukomaa na kutoa matunda, yana gamba gumu (tofauti na maparachichi ya kawaida ambayo yakiiva hulainika upesi), pia ladha yake ni tamu sana. Kwa kifupi siku hizi kuepuka GMO ni ngumu sana kwani mimea mingi imeboreshwa ili kuweza kustawi kwa muda mfupi na kutoa mavuno mengi.