Acha uongohayo maparachichi ni GMO, kwani yanachukua muda mfupi mti wake kukua, kukomaa na kutoa matunda, yana gamba gumu (tofauti na maparachichi ya kawaida ambayo yakiiva hulainika upesi), pia ladha yake ni tamu sana. Kwa kifupi siku hizi kuepuka GMO ni ngumu sana kwani mimea mingi imeboreshwa ili kuweza kustawi kwa muda mfupi na kutoa mavuno mengi.
Acha uongo
Karibu Njombe ujionee
Parachichi Kuna Aina mbalimbali usikariri uliyoyazoea pekee,tembea uone
Njombe, Burundi na Rwanda
Kwa wingi wa hayo mapaeachichi sidhani kama sio gmoHayo maparachichi unayoyazungumzia yanatokea BURUNDI.
Ni Organic kabisa ondoa shaka..!
Kwa scale ile sidhani kama ni natural, labda uniambie hao waburundi wanazalisha parachichi kwa ajili yetu tu wao hawali,Yanatoka Burundi hayo. Ni kitu asili kabisa. No GMO
Inawezekana kweliHayo maparachichi unayoyazungumzia yanatokea BURUNDI.
Ni Organic kabisa ondoa shaka..!
Samahanihayo maparachichi ni GMO, kwani yanachukua muda mfupi mti wake kukua, kukomaa na kutoa matunda, yana gamba gumu (tofauti na maparachichi ya kawaida ambayo yakiiva hulainika upesi), pia ladha yake ni tamu sana. Kwa kifupi siku hizi kuepuka GMO ni ngumu sana kwani mimea mingi imeboreshwa ili kuweza kustawi kwa muda mfupi na kutoa mavuno mengi.
Kwa zama hizi za utandawazi kubisha kitu bila kutafuta taarifa zilizozagaa sehemu mbalimbali ni upumbavuKwani kupatikana Njombe ndo isiwe GMO.! Mbegu [miche] zake umepata wapi?
Acha ushamba na ubishi, hizi ni zama za utandawazi, tafuta taarifa kamili kuhusu unachokibishia..hizo parachichi ni mbegu asilia huko Burundi na Rwanda na maeneo jirani Kama Kigoma na Ngara.Kwa scale ile sidhani kama ni natural, labda uniambie hao waburundi wanazalisha parachichi kwa ajili yetu tu wao hawali,
Grafting huwa tunafanya hata kwenye miche ya michungwa mbona huwa haileti tofauti ya tunda ?Punguza comment uongo kama hujui chochote.
Hii ni Grafting broo.
Unakumbuka asexual reproduction uliyofundishwa form 3?
Karibu SHAMBANI.
PUNGUZA KUONGEA USIVYOVIJUA.
Parachichi GMO na MCHINA katoka wapi?
Muwe mnatafuta kwanza taarifa ndio mje m comment.
Mmekaa kwenye lami huko mna comment tu "MCHINA" mara "GMO"
Karibu mjifunze
1. Kwanini makubwa
2. Kwanini hayana nyuzi
View attachment 2101973
#YNWA
Sijabisha ila kama unasoma comments zangu nafanya kuhisi tu kwamba chances za hizo avocado kuwa genetically modified ni kubwa ,Acha ushamba na ubishi, hizi ni zama za utandawazi, tafuta taarifa kamili kuhusu unachokibishia..hizo parachichi ni mbegu asilia huko Burundi na Rwanda na maeneo jirani Kama Kigoma na Ngara.
Yapo mengi Sana nao wamepata soko hapa bongo.
Parachichi Kama zilivyo embe Kuna species mbalimbali kutokana na maeneo.
Kweli kbs Maparachichi natural hayana tabia ya kufanana complete kutoka mti mmoja na mwingine yanakuwa na kautofauti flani. Lakini haya ya kijani yanafanana sanaa utafikiri yote yametoka mti mmoja lazima apo kuna kaartificial flani ndani yake tusidanganyane apa.Sijabisha ila kama unasoma comments zangu nafanya kuhisi tu kwamba chances za hizo avocado kuwa genetically modified ni kubwa ,
Kwenye hizi zama za utandawazi ndio hatari zaidi maana wagu wanajaribu kuficha codes kwenye vitu obvious, unachotakiwa ni kutumia common sense tu na ndio nilichomaanisha na kufanya.
Engineering inayotumika kwenye Gmo ina lengo la kuboresha production na quantity, huku iki compromise quality, tuliyokuwa tunayaona kwenye kuku broiler tumeyaona kwenye apples , embe, zabibu nk, sishangai kuyaona kwenye avocados.