GMO zipo sawa, lakini tembelea Burundi na Rwanda na maeneo jirani Kama Ngara na Kigoma ukajionee, kingine wachumaji wanafanya sorting wakati wakichuma parachichi..hizo ndio parachichi asilia kwenye hayo maeneo, wanayo ya brown pia lakini ni makubwa kuliko haya uliyoyazowea, mazingira na Hali ya hewa inawapa favourKweli kbs Maparachichi natural hayana tabia ya kufanana complete kutoka mti mmoja na mwingine yanakuwa na kautofauti flani. Lakini haya ya kijani yanafanana sanaa utafikiri yote yametoka mti mmoja lazima apo kuna kaartificial flani ndani yake tusidanganyane apa.
nangoja ajibu hili swali, maana nazidi kupata maswaliGrafting huwa tunafanya hata kwenye miche ya michungwa mbona huwa haileti tofauti ya tunda ?
Hebu eleza kwa nini acicado hizo hazina nyuzi na ni kubwa
Vigezo vya zao kuwa GMO siyo wingi. Kama unaongelea wingi wa parachichi tembelea Mbeya, Kilimanjaro, Tarime au sehemu yoyote inayoyalima utakuta yamejaa. Maparachichi ya Mbeya, Tarime, Kilimanjaro wala siyo madogo kama inavyodaiwa. Pia parachichi kuna yale ambayo ni kijani na kuna ya purple pia yote makubwa tu. Parachichi yakoaina mbalimbali naa ukubwa tofauti.Kwa scale ile sidhani kama ni natural, labda uniambie hao waburundi wanazalisha parachichi kwa ajili yetu tu wao hawali,
Wingi ninaozungumzia wala sio huo unaosemea , naongelea wingi wa parachichi zinazofanana kwa ukubwa rangi na pengine hadi uzito,Vigezo vya zao kuwa GMO siyo wingi. Kama unaongelea wingi wa parachichi tembelea Mbeya, Kilimanjaro, Tarime au sehemu yoyote inayoyalima utakuta yamejaa. Maparachichi ya Mbeya, Tarime, Kilimanjaro wala siyo madogo kama inavyodaiwa. Pia parachichi kuna yale ambayo ni kijani na kuna ya purple pia yote makubwa tu. Parachichi yakoaina mbalimbali naa ukubwa tofauti.
Ninao mti mmoja Morogoro, umechukua zaidi ya karibia miaka 10 kuzaa, sidhani kama ni GMO kama unavyosema na huu mti ni mtamu haswaah na ni makubwa Sana!Hayo maparachichi unayoyazungumzia yanatokea BURUNDI.
Ni Organic kabisa ondoa shaka..!
Aah wapi,tukuyu hayo miaka mingi nyuma yalikuwepo,hayakuwa na soko.Sio matam kama yale madogo
Nilikuta miti imekatwa miparachichi.
nilitukana sana.
1 Wakorintho 10:25Sasa hivi Dar imevamiwa na maparachichi fulani hivi ambayo sio kama yale tulozoea ya Kilimanjaro, Arusha, Bukoba na Mbeya lakini sasa hivi yameingia maparachichi ya tofauti kbs
Haya maparachichi amezagaa kila mahali na kila kona ya jiji la Dar es sallam
Swali haya maparachichi yanatoka wapi?Jee ni GMO?
Amasokela ghali manyafu fijho nkamuAah wapi,tukuyu hayo miaka mingi nyuma yalikuwepo,hayakuwa na soko.
wachina wakawadanganya wakate miti asili ya maparachichi.
Yalikua makubwa km kichwa cha mtoto.
Ndo kuleta mbegu hivi viduchu.
Wauze mbolea pia.
Hayo natural ulikua unapika ugali unaandaa chumvi na maharagwe mabichi parachichi moja watu wanne hammalizi huo ugali.
Likiisha unaenda nyuma ya nyumba unabeba lingine.
Yalikuwepo tu uani na yakiivaa yanaanguka.
Unalikuta hapo chini.
Nilikuta miti imekatwa miparachichi.
nilitukana sana.
Nikaambiwa ni wachina waliwashauri kukata wapande hivi vidogo km ngumi.
So wenzetu huko yalikotoka hawakuskiliza hawa macho ndogo.
Ndo unayaona sasa.
Uganda,Burundi,Rwanda yapo.
Naloli nkamu mangajhapo,jabhukile kughu🤷♂️Amasokela ghali manyafu fijho nkamu
Haya makubwa yanauzwa na Waturuki moja linafika 12,000Aah wapi,tukuyu hayo miaka mingi nyuma yalikuwepo,hayakuwa na soko.
wachina wakawadanganya wakate miti asili ya maparachichi.
Yalikua makubwa km kichwa cha mtoto.
Ndo kuleta mbegu hivi viduchu.
Wauze mbolea pia.
Hayo natural ulikua unapika ugali unaandaa chumvi na maharagwe mabichi parachichi moja watu wanne hammalizi huo ugali.
Likiisha unaenda nyuma ya nyumba unabeba lingine.
Yalikuwepo tu uani na yakiivaa yanaanguka.
Unalikuta hapo chini.
Nilikuta miti imekatwa miparachichi.
nilitukana sana.
Nikaambiwa ni wachina waliwashauri kukata wapande hivi vidogo km ngumi.
So wenzetu huko yalikotoka hawakuskiliza hawa macho ndogo.
Ndo unayaona sasa.
Uganda,Burundi,Rwanda yapo.
Bana we mali za urithi ujue tena.🤣🤣mkuu, ni nani alikata??!
Then hayo watakua wanapiga udalali tu,yapo waganda wanayo nishanunua sana kwaoHaya makubwa yanauzwa na Waturuki moja linafika 12,000
Swali limekaa kinafiki mnoNi kweli na mimi natamani kujua ni nini chanzo chake, ni kama vile yaliandaliwa kuuzwa nje ya nchi halafu ghafla soko likafungwa inabidi kusambazwa humu humu au ni ya kutoka nchi jirani
Hayo maepo si ya Tanga mkuumi niliuliza nikaambiwa ayanatoka burundi.nikawaza sana .ila huwa najiuliza haya maepo ya sh 300-500 mazima kwel?
Waturuki ndiyo wauzaji wakubwa wa korosho Ulaya, na Uturuki hakuna mikorosho. Sitashangaa kuwa ni maparachichi ya Uganda na Burundi yanauzwa Uturuki.Then hayo watakua wanapiga udalali tu,yapo waganda wanayo nishanunua sana kwao
Piga picha Sky.
Labda ya kutoka Ecuador na Argentina thats why.
12000
Nakuelewa,Cuba wanawauzia bado.yapo Europe yote mpaka ndizi Bukoba makongoro,kambale,vipo huko.kisamvu ambacho hakipatikani mchicha.majani ya maboga.Waturuki ndiyo wauzaji wakubwa wa korosho Ulaya, na Uturuki hakuna mikorosho. Sitashangaa kuwa ni maparachichi ya Uganda na Burundi yanauzwa Uturuki.