Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Kilimanjaro na jambo wote wameinua mikono kwa bakhresa wewe 😃😃😃, akaamua kuweka 1.6 litres kwa buku ileile na ukichukua kuanzia 6 bei inashuka
ni kweli ameweka hivyo. Lakini ubora wa maji ya chupa, unaangaliwa hata desgin ya chupa na ladha ya maji yenyewe. Mpaka sasa Hill ndio anaongoza kwa muonekano wa chupa nzuri, na ladha pia.
 
AFYA Hana mpinzani kwa Sasa Hadi juice zake ni balaaa ukitaka kuamini Hilo pita kwa wale wanaokusanya chupa uone
 
2024 uwe na ujasiri kama Hill water.
1. Usiogope yoyote,
2. Weka mipango,
3. Tekeleza,
4. Sacrifice. Utatoboa

NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
Bei za maji zikoje
 
Kwani maji ya Afya ndio hill ? Ukienda huko kanda ya ziwa kuna Jambo Jamukaya huwaambii kitu
 
Unyama wa hillary watter haya nayo ni maji eti.
20240710_093141.jpg
 
2024 uwe na ujasiri kama Hill water.
1. Usiogope yoyote,
2. Weka mipango,
3. Tekeleza,
4. Sacrifice. Utatoboa

NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
Ujasiri ni jambo moja na strength ya kifedha ni jambo jingine. Huwezi kuwa jasiri kama huna nguvu ya kiuchumi na watu wa kuku support.

Kama huamini hilo sahizi agiza container la pikipiki za Boxer uanze kushindana na Mo Dewji uone kama utamaliza miezi 6 ukiwa biasharani.
 
Back
Top Bottom