Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Msichojua ni kwamba hizi kampuni zina zones na mikoa inayotawala..

Mfano ukienda Singida Kilimanjaro ndiyo kakamata, kwanza kule hawajui kama kuna maji yanaitwa Hill nk.

Ukienda mikoa ya Iringa, Njombe, Rukwa unakutana na Dew Drop ndo katawala, kule huwezi kukuta Kilimanjaro, na ukiyakuta yako bei juu..

Ukienda kanda ya ziwa yaliyotawala ni Jambo....

Hivyo ukiona brand flani inafanya poa mtaani kwako usije ukadhani ndiyo Tanzania nzima iko hivyo[emoji777].
Hii ni kweli, mfano maji ya uhai yapo sana kanda ya pwani na mashariki. Kilimanjaro yapo kaskazini yote na pwani.

Maziwa ya Tanga fresh kaskazini na pwani.
 
Kuna kitu inaitwa Market Share makampuni hasa ya kuzalisha bidhaa wanafanya so unaweza usimuone hapa ila utakapomkuta ujue anapiga hela sana mtu hata akikamata 5% ya total market share anatengeneza pesa ndefu sana
 
Arusha Afya ameshapindua meza kibabe kabisa,kilimanjaro ana packaging mbaya sana,arusha kuna viwanda vingi vya maji,ila afya amepiku wote
Afya amedominate hata morogoro, yaani kampiga gap hata udzungwa ambaye ndio nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom