Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Ni kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
Kachupa kanene kafupii, kabayaaa
Sijawahi hata kuyanywa ‘ sijui testi yake.
 
Afya ndiyo maji ya kipuuzi sijawahi kuyaelewa kabisa, unajua maji huwa ni tasteless, sasa ukakasi wa Afya makemikali yamezidi sana ujazo hadi yanaboa.

Pangani hayo yapo wapi kwa hapo Dar? Nilibahatika kuyanywa mara 1 Magomeni nikayatafuta tena sikuyapata kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Bora nimempata aliyeona afya ni maji mabaya.
Mimi sijayaelewa kabisaaa
 
2024 uwe na ujasiri kama Hill water.
1. Usiogope yoyote,
2. Weka mipango,
3. Tekeleza,
4. Sacrifice. Utatoboa

NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
Mbona huku kanda ya ziwa kuna jamukaya aka Jambo product mwamba kabisa
 
Hill water anaweza sasa akawa ni no 2 baada ya Kilimanjaro.

Hivi Buyegi wanauza kweli maana ile chupa yake 1 bei yake ni 2,500 tsh.
 
Back
Top Bottom