Maji ya Kilimanjaro ushindani umekuwa mkubwa mpaka kaamua kushusha bei zimekuwa kama maji mengine
Itakuwa ameshusha bei na ubora pia.
Yani hayako sild hata ule ubora wa zamani hamna.
Wanauzia jina tu kwa watu ambao bado hawajayastukia kuwa ni kama uhai na hill