Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Sasa niwambie yote Tisa kumi ni hivi ;
kabla ya kununua Maji soma ingridients zake kwanza.

Epuka Maji yenye sodium nyingi yanapandisha blood pressure.

Imagine mambo kama haya tunayasema tusio madaktari lakini chama cha madaktari MAT wala hawana Habari ya kutoa elimu kwa jamii kuepusha watu kuugua na kushindwa kufanya kazi kuzalisha mali na wengine kupoteza maisha.

Asomaye na afahamu.
 
Nimejisikia kuwiwa kuandika haya;

Msimu nie Maji yenye sodium nyingi ni hatari kwa afya usijepata ugonjwa wa presha ya kupanda.

Ukisoma unakuta wameficha kwa kubabaisha hawaja sema sodium ni ngapi usinunue acha nunua mengine yaliyoandikwa.

Wateja mkipata awareness producers watazalisha kwa namna tunayoitaka sisi maana vinginevyo wanajua yatawadodea.
 
Hill anajua sana kuanzia maji, vinywaji baridi, vyakula vya mifugo, hadi chicken (hapa kwenye chicken Interchick wajiangalie sana)

Huyu mwamba kaja kufanya mapinduzi makubwa sana

Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa, marketing, ubunifu na nidhamu ya kazi
Sidhani kama wanashindana, ni kwamba wanasababisha watu watumie kuku bora zaidi kuliko wa wafugaji wengine.
 
Mchaga hahusiki nayo
Mr. Hillary Shoo is the Founder, Managing Director and Chairman of the Board of Directors of HILL GROUP. He started his business at Mwenge, Dar- es – salaam back 1998 selling Poultry feeds, he moves on to producing animal feeds marketed as Hill feeds. Later on, he opened a Veterinary Shop.
 
Sasa niwambie yote Tisa kumi ni hivi ;
kabla ya kununua Maji soma ingridients zake kwanza.

Epuka Maji yenye sodium nyingi yanapandisha blood pressure.

Imagine mambo kama haya tunayasema tusio madaktari lakini chama cha madaktari MAT wala hawana Habari ya kutoa elimu kwa jamii kuepusha watu kuugua na kushindwa kufanya kazi kuzalisha mali na wengine kupoteza maisha.

Asomaye na afahamu.
Unaposema Sodium nyingi una maanisha ngapi?
TBS si wametoa water wuality standard? Inamaana hawakuzingazia hili?
 
Biashara ya maji haina Monopoly....
Mkiwa mnakunywa maji yenu hapo dar, msidhani na sisi Huku Iringa na Songea tunatumia hayo.
Ni sawa na mtu wa Iringa kudhani dar Wanakunywa maji Africa au Mkwawa.
 
Back
Top Bottom