Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mie huwa siyanunui sababu ya lile lichupa lilivyo la ajabu. Hata kulibeba taabu.Kiufupi ile si chupa ni jagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie huwa siyanunui sababu ya lile lichupa lilivyo la ajabu. Hata kulibeba taabu.Kiufupi ile si chupa ni jagi
Mbona kama makasiriko!?Wewe unaumia nn wachina wakiwa shareholders wakubwa?
Ku_deal na serikali yaani kutengeneza mazingira ya kukwepa au kupunguziwa Kodi na issue za compliance na taasisi kama NEMC, TBS na jamaa zao.Kumbe Fredy (FRESHO) alikuwa ndugu wa Hill Water. Jamaa wapambanaji sana. Sema Tanzania ni kujiamini tu na kujua jinsi ya kudeal na Serikali.
Lindi mnatengeneza nn?yana ki harufu cha udongo
Wanatengeneza feki mkuu na wanaingiza sokoni.Wahind wameishindwa hii biashara ya maji
Sasa utengeneze maji feki ya 1,000? Bora uwekeze kwenye ma-brand ya whisky hukoWanatengeneza feki mkuu na wanaingiza sokoni.
Wanasubiri brand ikamate soko then wanaingiza feki.
Wahindi sio wale watu.
Kwa kweli wafanyabiashara siku zote lazima tu katika kuelekea kwenye mafanikio Kuna rafu flani hapo katikati wacheze.Siri ni nyingi sana. Ila huyo Salum wa Jambo, anayo pesa, sio mchezo.
Kusini Mbagala Kwa WamakondeHill anafanya vizuri upande wa kaskazini ya Dar.
Uhai....kusini...
Sure, ukishakuwa classified na TRA Mlipa kodi Mkubwa—una deal na Makao Makuu moja kwa moja; wewe ni tajiri haswa.Siri ni nyingi sana. Ila huyo Salum wa Jambo, anayo pesa, sio mchezo.
Infact maji ya chupa yoyote yale hayafai, hata yatengenezwe na WHO. Ni mazingira tu ndio yanatulazimisha kunywa.Dasani? Halafu nasikia mzigo ni sewage unakuwa treated mpaka unafikia viwango tunaletewa kukandamiza
Mikoani sioni maji ya uhai ni kilimanjaro tu ndo mfukuza upepoHill ni dsm ila mikoan huko azam anakimbiza sana
Nita kutengenezea special, ni yaite nusu albino 😂🤣🤣Mi nakunywa maji brand kubwa kubwa
Utauponza kijana 😁Nita kutengenezea special, ni yaite nusu albino 😂🤣🤣
Wapi huko?Mikoani sioni maji ya uhai ni kilimanjaro tu ndo mfukuza upepo
hill bado alikuwa anakuja vizuri ila kapandisha bei watu wengi wananunua kilimanjaro sahivi maana wao wamebaki na 500 kamili2024 uwe na ujasiri kama Hill water. Usiogope yoyote, weka mipango, tekeleza, sacrifice. Utatoboa.
NB: Mangi hatumii hirizi bali Biblia na bidii.
We mende tulia🤣😂😂, leo tukutanee darajani morrocco.Utauponza kijana 😁
We unadhan kila mutu ako dasalama, tukutane mji wa kiserikali chaaapWe mende tulia🤣😂😂, leo tukutanee darajani morrocco.
👉Saa 1 jioni🤒