Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Kumbe Fredy (FRESHO) alikuwa ndugu wa Hill Water. Jamaa wapambanaji sana. Sema Tanzania ni kujiamini tu na kujua jinsi ya kudeal na Serikali.
Ku_deal na serikali yaani kutengeneza mazingira ya kukwepa au kupunguziwa Kodi na issue za compliance na taasisi kama NEMC, TBS na jamaa zao.
 
Sio kanji wa simba ana copy copy kila biashara maji yake yana radha afu yaki lala yana kua naka harufu kabaya
 
2024 uwe na ujasiri kama Hill water. Usiogope yoyote, weka mipango, tekeleza, sacrifice. Utatoboa.

NB: Mangi hatumii hirizi bali Biblia na bidii.
hill bado alikuwa anakuja vizuri ila kapandisha bei watu wengi wananunua kilimanjaro sahivi maana wao wamebaki na 500 kamili
 
Back
Top Bottom