Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Yawezekana kila mkoa na brand yake pendwa.

Mfano Shinyanga wana bidhaa kutoka Jambo group zinaweza kuwa zimeshika soko kuliko hizo zingine mkoa mzima na mikoa jirani.

Sasa unaozungumzia shinyanga usekwen huko
 
Maji ya Kilimanjaro ushindani umekuwa mkubwa mpaka kaamua kushusha bei zimekuwa kama maji mengine
Naamini Maafisa Masoko wa Bonite hapa walifanya kosa. Kilimanjaro ni maji yaliyojenga HIGH STATUS (like Iphone). Hivyo ange deal na customers wakubwa mfano mahoteli—angewauzia retail price kama ya Jambo au Hill water, angeondoa sababu ya wao kukimbilia makampuni mengine, na angemantain wateja wake hao tu. Huku mtaani angekuwa anadokoa dokoa tu.
 
R
Naamini Maafisa Masoko wa Bonite hapa walifanya kosa. Kilimanjaro ni maji yaliyojenga HIGH STATUS (like Iphone). Hivyo ange deal na customers wakubwa mfano mahoteli—angewauzia retail price kama ya Jambo au Hill water, angeondoa sababu ya wao kukimbilia makampuni mengine, na angemantain wateja wake hao tu. Huku mtaani angekuwa anadokoa dokoa tu.
RIP Dr
 
Jambo product zake huwa zina ladha ya hovyo alaf ni mzee wa kuiga product za azam nae anazo ice-cream kama zile za azam ila ukionja zina kereketa kwenye koo mbaya kabisa
Jamaa bado hawajakaa kwenye mstari vizuri
Kuna mtu alikuwa ananiambia kuwa hiki kiwanda sasa hivi kiko chini ya wachina; Salum, nduguye na mwanae ni wabia tu—wachina ndio largest shareholders.
 
Wanasema ni mzawa ila ni mwarabu fulani hivi aina ya waarabu ambao mababu na mababu zao wapo Tanzania kabla ya ukoloni, alikuwa mmbunge huko Shinyanga mpaka kisukuma anakiongea.

Huyo Mzee Salumu, pesa anayo. Kwenye video anasema uwekezaji wa kwenye kiwanda chake cha Jambo food ni karibu Trillion Moja Tsh. Kodi Tra analipa 9B kwa kila mwezi.
Yaani Tsh 9,000,000,000/= kwa mwezi anapeleka TRA 🤣🤣

Wakongwe waje kuleta taarifa zake.
Biashara hizi zina mengi. Compliance kwa wafanyabiashra wakubwa hawa hasa makada ni changamoto. Mmoja ya wadaiwa Sugu wa Ushuru wa Council ni hii Kampuni, mwaka jana MD aliyekuwepo pale Council alianza yabana makampuni mengi sana yanayodaiwa Ushuru, kama ilivyo ada akahamishwa.
 
Hawa jamaa wako watatu kwao, kuna kaka yao mkubwa nafkiri ameshafariki alikua na biashara kubwa sana kule shinyanga na kanda ya ziwa

Afu kuna mmoja anahusika na biashara za aggrovert ..HARSHO huyu anafanya vizuri sana mikoa ya kaskazini na kanda ya kati

Mwingine yuko kwenye biashara ya vinywaji bwana Hillary huyu ukanda wa pwani anakimbiza sana


Note:

Majina yao wote watatu yanaanza na H
Kumbe Fredy (FRESHO) alikuwa ndugu wa Hill Water. Jamaa wapambanaji sana. Sema Tanzania ni kujiamini tu na kujua jinsi ya kudeal na Serikali.
 
Mimi tangu nimefika hili nchi lenu la joto sijaona maji matamu! Yote tana ka radha fulani hivi kwa hovyo hovyo! Labda nikijaribu hayo afya? Lakini haya uhai na hill water hapana aisee!
 
Back
Top Bottom