Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Ni mwenyeji wa shinyanga?
Wanasema ni mzawa ila ni mwarabu fulani hivi aina ya waarabu ambao mababu na mababu zao wapo Tanzania kabla ya ukoloni, alikuwa mmbunge huko Shinyanga mpaka kisukuma anakiongea.

Huyo Mzee Salumu, pesa anayo. Kwenye video anasema uwekezaji wa kwenye kiwanda chake cha Jambo food ni karibu Trillion Moja Tsh. Kodi Tra analipa 9B kwa kila mwezi.
Yaani Tsh 9,000,000,000/= kwa mwezi anapeleka TRA 🤣🤣

Wakongwe waje kuleta taarifa zake.
 
Kwanini hakuweka kifupi cha jina lake na la mke wake? ni ubinafsi au?
Ndugu wote watatu makampuni yao yameanza na majina yao.

Kaka yako anaitwa Fred Shoo(Fresho Group of companies)
Harold Shoo(Harsho Group of companies)
Hillary Shoo(Hill Group of companies).

Sababu ya wao kutumia majina yao sifahamu mkuu.
 
Maji yenye Package ya Kijanja Dar nzima ni;
1. BUYEGI. Bei nusu lita ni Tshs. 3000/=.
2. Dew Drop package nzuri radha halisi ya maji.
Hayo maji sjui Hill nk radha utazan wameweka vidonge vya Magnesium
 
Kunywa Pangani, Hill water, Ndanda, Dasani hutakaa kamwe ufikirie kunywa maji ya Afya.

Yalipotoka awali nilikuwa nayaelewa lakini siku hizi ni hovyo kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Nitajaribu hayo Pangani,ila hill,ndanda na dasani bado sijaona kama yanafikia radha ya maji ya afya.
 
Yawezekana kila mkoa na brand yake pendwa.

Mfano Shinyanga wana bidhaa kutoka Jambo group zinaweza kuwa zimeshika soko kuliko hizo zingine mkoa mzima na mikoa jirani.

 
Fuatilia comment zilizopita utaelewa why nimesema hill.
Nifatilie comment au hali halisi mtaani??
Wanaocomment sio wote wakazi wa dsm.

Kazi yangu inanifanya kukutana na wafanyabiashara wengi hasa hizi mangi shops, halafu hata kesho tu waulize wale wanaouzia watu maji kwenye foleni kama utamkuta mtu ana hill water.
Ni afiya na uhai na yale y mo
 
Jambo yuko vizuri. Mmiliki ni Salum ni mmbunge huko Shinyanga.

Ana pesa nyingi sana, sijui katolea wapi? Ngoja wakongwe waje


View: https://youtu.be/NtoEVfbVwGs?si=hhIZH18QZS14iVZb

Lake zone (Mwanza, Geita, Simiyu na Shinyanga) Kuna matajiri wengi wa kiwango cha kati wengi ambao Wana hela sio nyingi sanaaaa lakini sio chache pia yaani wa kiwango cha 500m kwenda juu. Na wengi unakuta ni wachimbaji wadogo wa madini hivyo likitema tu wanafanya mambo
 
Ni kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
Aisee! Nimecheka sana kwa hili la "chupa lake liko kama koboko"
 
Kilimanjaro water & Dasani hawana mpinzani hapa Tanzania 🇹🇿
Kwa eneo lipi?—Ubora au Mauzo? Kuna kipindi nilikuwaga nawaza labda kuna Govt Directive inayotaka maji ya Kilimanjaro ndio yatumike.
Kilimanjaro kwa sasa ameshuka sana. Nilipoanza ona event za kiserikali/mahoteli makubwa yanaanza tumia Brand zingine kama Jambo, nikajua hana chake tena.
 
Back
Top Bottom