Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wako serious na biashara kama Wahindi, Waarabu na WachinaHawa jamaa wako watatu kwao, kuna kaka yao mkubwa nafkiri ameshafariki alikua na biashara kubwa sana kule shinyanga na kanda ya ziwa
Afu kuna mmoja anahusika na biashara za aggrovert ..HARSHO huyu anafanya vizuri sana mikoa ya kaskazini na kanda ya kati
Mwingine yuko kwenye biashara ya vinywaji bwana Hillary huyu ukanda wa pwani anakimbiza sana