Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Sema nn Kilimanjaro kafanyiwa hujuma nzito alikuwa na status kushindwa hizi takataka zote za sasa ,yaani hakuna mtu alisogeza pua.

Nina wasiwasi na hawa wapya ni miongoni mwa jamaa waliosoma mchezo wa Kilimanjaro ,hao maji yalikuwa kuntu mpaka nje ya mipaka ya bongo yalitamba .
 
Ni kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
Jambo product zake huwa zina ladha ya hovyo alaf ni mzee wa kuiga product za azam nae anazo ice-cream kama zile za azam ila ukionja zina kereketa kwenye koo mbaya kabisa
Jamaa bado hawajakaa kwenye mstari vizuri
 
Afya anakimbiza katibia Tanzania nzima, hill ni regional sana sana ipo dar na bagamoyo.
Huyu jamaa wa afya ni nan ? Ana balaa katika usambazaji.

Huku kusini yanabamba
PXL_20240101_124911682.MP.jpg
 
Bora Nabii Wetu Wa VUKA NA CHAKO Naye Kafungua Kiwanda Cha Maji Ya Upako Ambayo Mikoani Mtayapata Soon. Amenunua Semi Trailer HOWO Nne Tutakunywa Kiupako
Kuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.
 
Attachments

  • 17041140407233682227966391211459.jpg
    17041140407233682227966391211459.jpg
    298.9 KB · Views: 27
Kuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.
Vita Ni Mbinu
A Rise And Shine
 
Huyu jamaa wa afya ni nan ? Ana balaa katika usambazaji.

Huku kusini yanabamba
View attachment 2859336
Hao ni waarabu wanaomiliki kampuni ya oilcom na kiwanda cha cement wana nguvu kubwa ya mtaji na wanakopesheka benki ndio maana wanao uwezo wa kusambaza nchi nzima. Ujue changamoto kubwa kwenye hivi viwanda vya vileo na maji ni mashine za kuzalisha chupa zina gharama kubwa sana kuziendesha kwa mtu mwenye mtaji mdogo lazima utafanya biashara yako kwenye kieneo kidogo tu kama wanavyofanya hill water ,ndanda spring,Mkwawa water,Mufindi water, Njombe na mengineyo.
 
Hawa jamaa noma
 
Hill anajua sana kuanzia maji, vinywaji baridi, vyakula vya mifugo, hadi chicken (hapa kwenye chicken Interchick wajiangalie sana)

Huyu mwamba kaja kufanya mapinduzi makubwa sana

Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa, marketing, ubunifu na nidhamu ya kazi
Hawa jamaa wako watatu kwao, kuna kaka yao mkubwa nafkiri ameshafariki alikua na biashara kubwa sana kule shinyanga na kanda ya ziwa

Afu kuna mmoja anahusika na biashara za aggrovert ..HARSHO huyu anafanya vizuri sana mikoa ya kaskazini na kanda ya kati

Mwingine yuko kwenye biashara ya vinywaji bwana Hillary huyu ukanda wa pwani anakimbiza sana

Note:

Majina yao wote watatu yanaanza na H
 
Dew drop yana design mbaya ya chupa kuliko maji yoyote Tz na Dunaini, in term of appearance design inavutia ila kwa matumizi jau, ukiiahika chupa inabonyea yaani huwezi ibeba kwa kuishika inabonyea laini sana Uncomfortable.
Sahihi kabisa ,nafkiri ndo brand ya maji yenye package mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom