bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wote waarabu wa dar na shinyanga na waarabu ni nduguHao jambo sio afya part 2 kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote waarabu wa dar na shinyanga na waarabu ni nduguHao jambo sio afya part 2 kweli
Kanda ya Ziwa yote Ni Jambo ndo kaikamataHill ni dsm ila mikoan huko azam anakimbiza sana
Dew Drop kutoka sumbawangaKuna chupa fulani hivi zinakuwa nyeupe, kale kachupa walidesign vizuri ika naona hawajasambaa sana wenyewe.
Huko huyo hakuna wakushindana naeKanda ya Ziwa yote Ni Jambo ndo kaikamata
Dew dropKuna chupa fulani hivi zinakuwa nyeupe, kale kachupa walidesign vizuri ika naona hawajasambaa sana wenyewe.
Huko huyo hakuna wakushindana nae
Mungu yupi....?Ukimjua Mungu biashara lazima utoboe
dar ina wenyewe mkuuUzuri ni matamu sana yabaridi hayana chumvi kabisa.
Angejitahidi kusambaza na Dar es salaam angeweza kuongeza mauzo kwa kiasi kikubwa sana.
Maji Rungwe yalipotelea wapi mkuu.Interesting 🤔,mbeya tunakomaa na tukuyu water🥂.
Nimekuja Dar nikakuta hii brand ndo imetamalaki huko nilipofikia.fanya tafiti mkuu ila afya anaupiga mwingi. Hata vijuice/soda take away anakimbiza mno
🥂 ila hata Kaskazini dew drop imesambaa, ni kili na dew drop.Kanda ya ziwa bila jambo bado sana
Katavi,rukwa,songwe bila dew drop utapotea.
Arusha,kilimanjaro kilimanjaro
nb: wekeni na huko kwenu.