Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Kilimanjaro siku hizi hata seal hayana.

Yani utasema chupa zimeokotwa na kujazwa maji kisha kufungwa kawaida yasimwagike.!
 
Drop anatakiwa kuongeza capacity ya uzalishaji na usambwzaji.

Maana ukienda super markets unaambiwa yameisha mara nyingi na mtaani hayapatikani sababu bei yake iko juu kidogo na wengi wanataka cheap bila kujali ubora wa product au service.
 
Siku hizi kwenye hafla za heshima Maji ya kuweka yanapaswa kuwa Dew drop na Jambo,

Hayo Ndiyo Maji mengine ni mifano ya Maji.
 
Msichojua ni kwamba hizi kampuni zina zones na mikoa inayotawala..

Mfano ukienda Singida Kilimanjaro ndiyo kakamata, kwanza kule hawajui kama kuna maji yanaitwa Hill nk.

Ukienda mikoa ya Iringa, Njombe, Rukwa unakutana na Dew Drop ndo katawala, kule huwezi kukuta Kilimanjaro, na ukiyakuta yako bei juu..

Ukienda kanda ya ziwa yaliyotawala ni Jambo....

Hivyo ukiona brand flani inafanya poa mtaani kwako usije ukadhani ndiyo Tanzania nzima iko hivyo[emoji777].
 
Back
Top Bottom