asante sana Kipipi.
haya kazana na wewe ulipate mwaya!
gfsonwin Haaaa haaaa nimeipenda hii. Mko juu!wanawake na maendeleo tufanye kazi tusonge mbeleee yelele yeleeeeeee eeeh wanawake yelee yeleeee eeh kina mama!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ahahhahahhahahhahhahahhahaha SITAAAAKI MIMI! Boflo ukinilipia hili chata NITAKUONA BOOOOOONGE LA MWANAUME!
chata nalitaka hasa,hadhi yangu ipate msasa
chata nalitaka hasa,hadhi yangu ipate msasa
usinia eksiparti nimeuchoka,chata lanipa hamasa
nalikata chata tena hasa,jitanda pembeni lipate pacha
talitafuta chata kwa haraka,yanipite yote wakati huu ni sasa
sitaki tena sitaki hasa ,kubaki nyuma kisa pesa
sikubali tena sikubali kabisa,ima ikawe faima lazima niweke heshima
mwali kanitia hasira na walahi namlipa,iwe iweje sikubali chata naliweka
talifuta chata kwa haraka,yanipite yote wakati huu ni sasa
Duuh! hadi raha kweli Wanawake mkipewa nafasi manaweza. Untaka Chata bibie?
kizuri kula na nduguyo kibaya mtupie mbwa
source : lara 1