we Madame B sakapoko Chimbuvu ana milioni ya kukulipia tanzanite wewe? Kajikombe kwa advocate Ruttashobolwa atakupa hiyo hela na mimba juu.Wer...........weraaaaaaaaaaaaaaaa,
Wanawake Oyeeeeeeeeeeeeeee,
Wanaume zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,
Ngoja nami niliweke li Tanzanite fasta
we Madame B sakapoko Chimbuvu ana milioni ya kukulipia tanzanite wewe? Kajikombe kwa advocate Ruttashobolwa atakupa hiyo hela na mimba juu.
hivi huyo bwanako Chinbuvu mpaka achome mishkaki mingapi ya samaki nchanga auze ndo apate ka milioni? Ama kweli kupenda kubaya.we Bishanga, ushindwe na ulegee.
Chimbuvu wangu ana mbegu na pesa za kutosha,
sibabaiki na hivo visenti mbuzi vyenu wewe na mdogo wako Ruttashobolwa.
hahahah! mlipie basi snowhite ili apate hiyo gold? kama mie nimepewa maujiko ili apewe?Afu nawee umezidi kwa miandiko na ubaguzi. Kama umeweza kumpa haya maujiko mwalimu gfsonwin unashindwaje kumpa ma mwalimu snowhite mpaka alielie namna hii?
BTW fanya mandingo nishinde tena yale makitu ili unipaishe niwe Tanzanite member mie na comrade Nyani Ngabu. Si unaona mwalimu anavotupiga madongo na haya magold ya "kupewa"? Hahahahah!
shosti wala usisubiri uewa manake watahitaji walipwe. wewe cha kufanya lipa 20 kisha tulia endelea siku nyingine 30 kisha tulia baada ya miez 3 weka 50 tena utajikuta tayari unakaribia ubronze atiii.mbona tutakoma mwaka huu!
uuuwih jamani hakuna hata wa kuniPM kuhusu hii thread mweh!
mwali mi hata sikubali!'
kwani hilo lijichata pembeni kwako hapo shing ngapi?
lol!
haya haya jamani wareee wooote oh snowhite unajua ,oh nini kwani oh kwani si uniweke tu humo!
ndo munipe sasa lichata!
ahahhahahhahahhahhahahhahaha SITAAAAKI MIMI! Boflo ukinilipia hili chata NITAKUONA BOOOOOONGE LA MWANAUME!
ngoja nianzishe kibubu!shosti wala usisubiri uewa manake watahitaji walipwe. wewe cha kufanya lipa 20 kisha tulia endelea siku nyingine 30 kisha tulia baada ya miez 3 weka 50 tena utajikuta tayari unakaribia ubronze atiii.
niliekeza kama kwenye VICOBA mwali na juzi ndo nimemaliza nikaomba nipewe status wala si kazi.
ama nikupe njia nyingine nzuri kila siku dondosha sh 2000/= tu baada ya mwez ni 60000/= ukiongezea mwez wa pili tayari wewe ni bronze ukienda wa 3 tayri ni gold. ni simple sana. sina za jumla lkn za kuchanga changa mwali sikosi.
BTW hivi kwani ule mtaji wa ice cream umekufa kwani?? kama bado tumia faisa yake ya siku kulipia unamweleza ti MIKE MIKEE kwamba nataka nikifikia kiwango cha status fulan ndo uniwekee chata. mwali unaweza kabisa.
kiuno kimekaza tenaaaaaaaaa!
we Madame B sakapoko Chimbuvu ana milioni ya kukulipia tanzanite wewe? Kajikombe kwa advocate Ruttashobolwa atakupa hiyo hela na mimba juu.
yaani huna hata haja ya kibubu mwali unaiatuma moja kwa moja kwa mike makee halafu utaona. mwl tena ashindwe aaah! wapyyyyyyyyy!!!!!!!!
Utafanyiwa kama yule jamaa aliyekupeleka kidate halafu akawa hana kitu............kakwapue za DiasporaMmmhhhhhhhhhhhhhhhh! Eeeeh! Sasa mtu akini PM mambo personal naangalia kama CHATA LIPO au uzushi! Na mie ngoja nijikaze nifute aibu hiii! Mtoto Mdogo Blaine zinga la CHATA!!!!! Mie Kubwa la Maadui bure kabisaaa! Sikubali nasema sikubali!!!!!!!!!! Itabidi nikope Saccoss mwenzenu nije niweke heshima jamvini!!!
Navopenda mambo makubwa chupi inanibanajeeee! Heri usingenitaja ningejikausha je?!!!! Mzamini wa Kunilipia hilo CHATA anahitajika Haraka sanaaa! Naumbuka mwenzenu tena Ciello akiona hapa tu kesho analo!
Jamani anaenifadhili hilo chata ani PM tu!!!!!!!!! LOL! (Ikibidi nitatoa mwenyewe isiwe tabu!)
natangaza nia!
kuanzia january natupiemo humo elfu kazaa mpaka juni! hala hala wasije niwekea chata la JF FOUNDER tu!kwa jinsi nilivo na hasira!
Hello gfsonwin, umefanya jambo la heri sana kuchangia JF na hata kuanzisha hii thread. najua ni wengi sana wenye uwezo wa kuchangia lakini kwa sababu fulani fulani hawajaweza kufanya hivyo.
Ni ukweli usiopingika kuwa JF kwa sasa inaendeshwa kwa gharama kubwa sana. Tunamshukuru sana Invisible na team yote ya JF staff na Mods kwa kuendelea kujitolea ili JF isonge mbele.
Natoa wito kwa kila mwenye uwezo wa kuchangia JF kuanzia kiasi kidogo cha elfu 20 na kuendelea kufanya hivyo. Kutoa ni moyo na wala haina maana nyingine yoyote. Najua tunatumia pesa nyingi zaidi ya elfu 20 kwa mwaka kuweza kupata access ya bure JF lakini wakati huo huo wengi hawajafanikiwa kuchangia JF.
Kwa heshima na taadhima nawaomba sana wale wote wenye mapenzi mema wachangie JF. Bila shaka mkongwe mwenzangu Bishanga ataungana na gfsonwin kuhamasisha zaidi uchangiaji.
Hongera sana Kungwi gfsonwin.
Bishanga na Madame B itabidi siku tuwaombe tu mkapeane dozi si bure haya majibu haya mnatakana lol!Umesikia nimempendea pesa zake??????
Nimempendea 'shughuli' yake, si ya kitoto. Bishanga, utajijuuuuuuuuuuu