Lengo langu ilikuwa ni kununua hiyo Prado 150. Ila nimeshawishika kuwa naweza pata Hilux double cabin ya 2015 kwa kuanzia 70m wakati prado ya 2010 inaanzia 80m. Lengo ni kuwa na gari ambayo naweza kwenda popote penye barabara iwe lami au tope na naweza pakia mizigo kiasi. Na niweze kwenda nayo hata kwenye sherehe pia. Ingekuwa wewe ungechukua ipi? Kwa kuzingatia;
1. Functionality.
2. Muonekano
3. Comfortability
4.Resale value
5. Maintenance costs
6. Prestige
Kama vipi unaweza nishauri nichukue harrier 2015 na kuendelea sababu ni bei sawa na hilux, lakini naona kama ni delicate. Kulger was a perfect choice ila new models zinakuwa na engine kubwa 3500cc nadhani itakuwa inabugia mafuta.