HILUX vs PRADO nichagulie

HILUX vs PRADO nichagulie

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
Lengo langu ilikuwa ni kununua hiyo Prado 150. Ila nimeshawishika kuwa naweza pata Hilux double cabin ya 2015 kwa kuanzia 70m wakati prado ya 2010 inaanzia 80m. Lengo ni kuwa na gari ambayo naweza kwenda popote penye barabara iwe lami au tope na naweza pakia mizigo kiasi. Na niweze kwenda nayo hata kwenye sherehe pia. Ingekuwa wewe ungechukua ipi? Kwa kuzingatia;
1. Functionality.
2. Muonekano
3. Comfortability
4.Resale value
5. Maintenance costs
6. Prestige
Kama vipi unaweza nishauri nichukue harrier 2015 na kuendelea sababu ni bei sawa na hilux, lakini naona kama ni delicate. Kulger was a perfect choice ila new models zinakuwa na engine kubwa 3500cc nadhani itakuwa inabugia mafuta.
 
Kwa mimi mangi napendelea sana hillux kwanza zinatembea bwana. Yaan hillux tamu bwana. Hata ulaji wake wa mafuta mtamu sana. Mpaka mil 55 unapata. Niliona anko wangu amenunua 2 years back uingereza. Mizigo munabeba ya kiasi chake.
 
Hilux 2015 vs Prado 2010
BG362920_0f53e9.JPG
BG362920_5f3520.JPG
BG319253_e77dae.jpeg
BG319253_972f4c.jpeg
 
Kwa mimi mangi napendelea sana hillux kwanza zinatembea bwana. Yaan hillux tamu bwana. Hata ulaji wake wa mafuta mtamu sana. Mpaka mil 55 unapata. Niliona anko wangu amenunua 2 years back uingereza. Mizigo munabeba ya kiasi chake.
Kweli. Hata ukipakia mizigo hupati harufu yake, Haah!
 
Ukiangalia haraka haraka bila kuzijua hizi gari kwa undani wengi watachagua Hilux (hata mimi zamani)
Hiyo ni kwa sababu tumeiona hilux kabla
Prado iko juu kwa bei na inabeba watu wengi zaidi kuliko hilux na ni nzito zaidi kwa 300kg hivyo kuifanya Prado itumie mafuta kidogo zaidi kwa Hilux

Hapo hata bei kwa mpya Prado iko juu na tofauti zake ni kama $ 5000
Kwa kweli bei za Tz ni pasua kichwa ila hakuna jinsi
 
Chukua Prado mkuu

Prado hata shambani au porini inapita vizuri sababu ni Off-road SUV, halafu Prado unapata faida mbili ya kwanza unaweza pakia watu wengi(Three rows of seats) ya pili mizigo pia unaweza pakia mingi sababu utalaza seat tokea boot hadi kama utataka seats za nyuma ya dereva
 
Back
Top Bottom