He umejitoa akili naona, vita sasa unaingia mwaka wa 3 kama urusi ana maeneo kwanini asichukue ile nchi nzima na alikuwa ashaizingira hadi Kyiv mji mkuu,Ndo vita hivyo.Unashangaa mwanajeshi kuuwawa vitani??Kwani wao wameua wa-ukraine wangapi??
Kikubwa Ukraine wakomboe maeneo,wao wanahangaika sana kushinda hii vita mitandaoni kwa mapicha na habari kama hizi, lkn uwanjani hopeless
Huo mji haujaanguka Jeshi la Ukraine wali withdraw ili kuwazunguka na kuwatia adabu, wewe huna ujualo hii vita toka inaanza ndivyo wataalam wanavyopigana sasa mwaka wa 3 mrusi hajaona ndani ni vilio tuuNaona umefufuka hahahga ila izi taarifa zipo toka majuzi mji wa adviinka ulivyoangua kwanza walianza na taafira ya kuangusha ndege nne za urusi Leo wamekuja na taarifa izi naona yote ni kuwapa wapiganaji wao ari mpya ya kupigana na kuwaondolea akilini kile walichofanyiwa na viongozi wa juu kuwatelekeza na kutoa amri ya kuachia mji dakika za mwisho ambapo tayri askari 1500 wameshakufa
Kyiv haikufanyiwa intensive attacks kama Donetsk ,Zaporhizia na Crimea.Ata Kyiv ilitekwa kwa msururu wa mavifaru ata idadi havina leo watoto wanaenda shule na kurudi salama salimini
Mkishaweza kuondoa majeshi ya Russia na kurudisha mipaka ya zamani ndio muanze kuongea.Huo mji haujaanguka Jeshi la Ukraine wali withdraw ili kuwazunguka na kuwatia adabu, wewe huna ujualo hii vita toka inaanza ndivyo wataalam wanavyopigana sasa mwaka wa 3 mrusi hajaona ndani ni vilio tuu
Sasaivi imebaki kurudisha Cremea tu ambayo tayari soon Ukrean watapokea silaha za kupiga 300 miles kushambulia popote eneo la cremea ambapo hii kabla haikuwa kwenye ratiba Urusu walilichukua jimbo hili toka 2004Mkishaweza kuondoa majeshi ya Russia na kurudisha mipaka ya zamani ndio muanze kuongea.
So what? You wanted Russia based one to report that?Telegraph west based media?
Yale maeneo kukomboa ni ngumu sababu kule wanakaa ethnic russia unayakomboajeNdo vita hivyo.Unashangaa mwanajeshi kuuwawa vitani??Kwani wao wameua wa-ukraine wangapi??
Kikubwa Ukraine wakomboe maeneo,wao wanahangaika sana kushinda hii vita mitandaoni kwa mapicha na habari kama hizi, lkn uwanjani hopeless
Zaporizhia bado haijakombolewa hata Donetsk bado haijakombolewa kikamilifu.Sasaivi imebaki kurudisha Cremea tu ambayo tayari soon Ukrean watapokea silaha za kupiga 300 miles kushambulia popote eneo la cremea ambapo hii kabla haikuwa kwenye ratiba Urusu walilichukua jimbo hili toka 2004
Habari za mk254 sio za kuamini, sisi tunajua baada ya usa kuona maji yanakaribia kuvuka shingo akasmua kujitoa na ndipo vita ilipoishia, na russia mshindiView attachment 2911008
More than 65 Russian soldiers have been killed in a Himars rocket strike on a military base in the Donetsk region, it has been claimed.
Russian military bloggers reported that three Himars rockets struck the training ground of Russia’s 39th Separate Guards Motorised Rifle Brigade in the occupied village of Trudivs’ke in southern Donetsk, killing over 65 troops.
Pictures shared on social media showed dozens of bodies strewn across a field as others were lined up by survivors.
The strike was launched at around 9am on Tuesday when the military brigade was forming up, it is reported. An unknown number of Russian soldiers were injured.
Ukraine ni mahodari kwa kusema.Wanauwa kila siku na huku wanasukumwa nyuma.View attachment 2911008
More than 65 Russian soldiers have been killed in a Himars rocket strike on a military base in the Donetsk region, it has been claimed.
Russian military bloggers reported that three Himars rockets struck the training ground of Russia’s 39th Separate Guards Motorised Rifle Brigade in the occupied village of Trudivs’ke in southern Donetsk, killing over 65 troops.
Pictures shared on social media showed dozens of bodies strewn across a field as others were lined up by survivors.
The strike was launched at around 9am on Tuesday when the military brigade was forming up, it is reported. An unknown number of Russian soldiers were injured.
Sasaivi imebaki kurudisha Cremea tu ambayo tayari soon Ukrean watapokea silaha za kupiga 300 miles kushambulia popote eneo la cremea ambapo hii kabla haikuwa kwenye ratiba Urusu walilichukua jimbo hili toka 2004
Baadhi yao hawa hapaView attachment 2911242
Russia walipoivamia ukraine walishalidhibiti eneo la Ukrain ikiwemo Kyiv lenye ukubwa wa nchi ya Newzerland sasa jiulize imekuwaje tena mpaka sasa unataja Donetsk, zaporshizia na crimea.Kyiv haikufanyiwa intensive attacks kama Donetsk ,Zaporhizia na Crimea.