Mbona unahama hama brothee??Russia walipoivamia ukraine walishalidhibiti eneo la Ukrain ikiwemo Kyiv lenye ukubwa wa nchi ya Newzerland sasa jiulize imekuwaje tena mpaka sasa unataja Donetsk, zaporshizia na crimea.
Zelensky rais wa Ukraine alishaingia porini leo amerudi mjini watoto wanaeda zao shule na bunge lao na shughuli za serikali zote zinakwenda kama kawaida, jiulize hilo swali mkuu Russia walikwama wapi na kurudi zao bahari nyeusi kurusha kuangusha nyumba za raia na kuua raia
Kyiv kutokudhibitiwa hai justify kuwa Donetsk,Zaporizhia na sehem kubwa ya Eastern Ukraine bado imeshikiliwa na Russia.
Basi tuitoe Crimea maana toka 2014 ilishabebwa na kuchukuliwa.
Tuzungumzie Eastern Ukraine ambayo imebebwa miaka ya hivi karibuni,je mbona bado haijakombolewa??
We si ulisema kuwa bado Crimea tuu???