Himars bado zinawatesa Russia 65 wauliwa Donetisk

Russia walipoivamia ukraine walishalidhibiti eneo la Ukrain ikiwemo Kyiv lenye ukubwa wa nchi ya Newzerland sasa jiulize imekuwaje tena mpaka sasa unataja Donetsk, zaporshizia na crimea.

Zelensky rais wa Ukraine alishaingia porini leo amerudi mjini watoto wanaeda zao shule na bunge lao na shughuli za serikali zote zinakwenda kama kawaida, jiulize hilo swali mkuu Russia walikwama wapi na kurudi zao bahari nyeusi kurusha kuangusha nyumba za raia na kuua raia
Mbona unahama hama brothee??
Kyiv kutokudhibitiwa hai justify kuwa Donetsk,Zaporizhia na sehem kubwa ya Eastern Ukraine bado imeshikiliwa na Russia.
Basi tuitoe Crimea maana toka 2014 ilishabebwa na kuchukuliwa.
Tuzungumzie Eastern Ukraine ambayo imebebwa miaka ya hivi karibuni,je mbona bado haijakombolewa??
We si ulisema kuwa bado Crimea tuu???
 
Ukiambiwa jiambie hiyo miji ya Donetsk, Zaporishia urusi amechukua baadhi ya maeneo wazungu wanaita partially sio kote na miji yote urusi aliyotangaza ni hivyo hivyo, Zaporishia upande mmoja kuna Ukraine na urusi wako upande mwengine kwenye kile kinu cha nuclear mapambano yanaendelea mpaka watatema kote kote.

Urusi wanatabia wakishachukua eneo lote huweka uongozi wao je umesikia hayo maeneo uliyotaja wakiweka meya wao? mji pekee ambao urusi alikuwa na base kubwa ni Cremea ambayo alipora hiyo 2014 lakini saiv cremea sio salama tena mashambulizi yashaanza na tayari baadhi ya maeneo urusi wameanza ku-withdraw

wewe hujui chochote, kelele tu.
 
Sijui chochote au we ni mtu wa agree tu disagree??
Ona ulivyo huna akili.
NILIKUULIZA DONETSK NA ZAPORIZHIA IMEKOMBOLEWA??
JIBU HAPANA IWE PARTIALLY AMA TOTALLY JIBU NI KUWA BADO HAPAJAKOMBOLEWA.
UNAWAZAJE CRIMEA ILHALI EASTERN UKRAINE BADO HUJAPAKOMBOA???
Uwepo wa Russia wote utoweke hapo ndio tutasema kumekombolewa.

Una shida katika uelewa wako.
 
View: https://twitter.com/IAPonomarenko/status/1758920773090050488?t=iH2c4TIDkAMFTnkh8gJ3AA&s=19

View: https://twitter.com/OstanniyCap/status/1757798380074402260?t=GR3g8WwA616xtFTfpD4jMg&s=19
 
Sijui chochote au we ni mtu wa agree tu disagree??
Ona ulivyo huna akili.
NILIKUULIZA DONETSK NA ZAPORIZHIA IMEKOMBOLEWA??
JIBU HAPANA IWE PARTIALLY AMA TOTALLY JIBU NI KUWA BADO HAPAJAKOMBOLEWA.
UNAWAZAJE CRIMEA ILHALI EASTERN UKRAINE BADO HUJAPAKOMBOA???
Uwepo wa Russia wote utoweke hapo ndio tutasema kumekombolewa.

Una shida katika uelewa wako.
Wewe unaongelea kukombolewa kwa ardhi yote ama maeneo yote yaliyoporwa na Russia, yafaa ufahamu Russia alipovamia aliteka hadi Kyiv na kuizunguka yote Zelensky alikuwa porini, Urusi walishatawala eneo la nchi ya Newzerland katika ardhi ya Ukrain lakini Ukraine walipambana kumtoa adui Kyiv na wakafanikiwa 100%, vita bado inaendelea sasa mwaka 3 unaingia ingawa putin aliahidi saa 72 tu zingetosha.

Vita inaendelea mkuu na maeneo ambayo Ukraine imerejesha kutoka kwa vamizi urusi hajafanikia kupora tena wamerudi nyuma, ndio mana sasa nakwambia mpango uliopo ni kurudisha Cremea yote kazi inaendelea vita inaendelea kiongozi superpower mrusi taaban nafsi yake sasa anapigana kwa hasara
 
Ardhi yote sawa na maeneo yote yaliyoporwa na Russia.
Bado kuna jeshi la Russia Eastern Ukraine.
Hivyo huko kusafishwe kwanza ndio jeshi la Russia litoke totally ndio Crimea iwazwe.
Russia kuwa taaban kawaida hapigani pekeake ukumbuke NATO wako nyuma ya Ukraine mzee.
 
Zelensky rais wa Ukraine alishaingia porini leo amerudi mjini watoto wanaeda zao shule na bunge lao na shughuli za serikali zote zinakwenda kama kawaida, jiulize hilo swali mkuu Russia walikwama wapi na kurudi zao bahari nyeusi kurusha kuangusha nyumba za raia na kuua raia

Kumbuka makubaliano ya Turkey kati ya maafisa wa Ukraine na wale wa Russia chini ya Rais wa Uturuki. Makubaliano yalifanyika baada ya Hali kuwa mbaya Kiev.
 
Lete hapa hayo makubaliano, jitoe fahamu maiti za jeshi la russia zilizagaa Kyiv mpaka wakaamua ku-wathdraw, biden alijisifu kwamba US imeisaidia sana Ukraine kumtoa vamizi Kyiv na mpaka leo russia anaogopa kuchomoza kyiv, vita ya ardhini Putin hajui na alifeli 100% ndio maana sasa anastruggle akiwa bahari nyeusi hawezi kusogea tena
 
Wakati wenzetu wanaonyesha nini somo la Fizikia linaweza kuonyesha katika dunia hii sisi hata umeme tu tumeshindwa kuwa nao na eti tunachohakikisha kwamba lazima kifanyike ni kuhakikisha kwamba mwenge inakimbizwa kila mwaka. Waafrika hatuko serious kabisa na kitu kinachoitwa maendeleo.
Dah!.
 
Back
Top Bottom