Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo hujaelewa umuhimu wa kulipua hill darajaYaani ulipue daraja la nchi yako. Unayo dai unataka kuikomboa. Afu ujisifu. Ujinga wa PhD.
Kumbe Ukraine ndo inayopewa kichapo ndani mwake mwenyeweAdui akishaingia kwako haijalishi unapiga wapi, yaani unapiga popote alipo almradi apokee
Jaribu kuwa muelewaKumbe Ukraine ndo inayopewa kichapo ndani mwake mwenyewe
Ni ujinga tu. Sasa hivi kuna teknolojia ya temporary Bridge za chuma zina elea tu. Na vifaru vina pita.Kwaiyo hujaelewa umuhimu wa kulipua hill daraja
Na kwamba hizo SARMAT zinaweza kubeba nuclear payload au conventional payloads kama thermobaric explosives au H.E., bottom line is: Miami sio mbali hata kwa hypersonic missiles and glide vehicles hawa jamaa wanajitafutia balaa - Dunia imebadirika sana, mambo ya kutamba tamba,viburi na ujeuri ndio zimeanza kukaribia tamati - Dunia itaanza kuongozwa kwa misingi ya multipolarity no more Unipolarity crap.Ulitaka nizungumzie hizo satan na nyinginezo?
Aende kwani kavamiwa yeye...Kwanini Marekani asiende mwenyewe kumsaidia Ukraine kupigana na Urusi?
Anachoogopa ni nini hasa mbona anaishia kutuma silaha tu?
Russia alisema ole wake atakayemsaidia Ukraine sasa yeye kwa nini asimpige Marekani kwa kumsaidia Ukraine? Jibu kwanza hapo.Kwanini Marekani asiende mwenyewe kumsaidia Ukraine kupigana na Urusi?
Anachoogopa ni nini hasa mbona anaishia kutuma silaha tu?
Kwanini Urusi hazivamii na kuzishambulia nchi za Nato zinazompa silaha Ukraine?.Kwanini Marekani asiende mwenyewe kumsaidia Ukraine kupigana na Urusi?
Anachoogopa ni nini hasa mbona anaishia kutuma silaha tu?
Military tactic..Yaani ulipue daraja la nchi yako. Unayo dai unataka kuikomboa. Afu ujisifu. Ujinga wa PhD.
PropagandaNaona Urusi anayachukua tu mapande [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tukiwambia humu Putin master plan muwe mnaelewa [emoji1787], Nato weusi endeleeni na nyuzi zenu za Himales sjui ndio nn, mtajua hamjui [emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
A month after #Russian passports have been given to certain #Kherson residents, the region decides to plan a referendum that will make it an entity of the Russian Federation.
#Russia
#Ukraine
![]()
Kherson to hold referendum to join the Russian Federation
Kherson region is set to hold a referendum to become a fully-fledged Russian Federation entity.t.co
jibu ni NYINGINE sio hii yaan hazifananLengo ni kumkamata mwizi na kumuua/kumpelekaa Jela asirudi tena kukuibia.
mbona mission nyingine alienda mwenyewe hakutuma mbwa wake?[emoji28][emoji28][emoji28]
hata Hitler aliongoza ubaoni kwa miaka 4 sembuse kwa miez 5 huku akiteteleka dhid ya nchi moja tuNaona Urusi anayachukua tu mapande [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tukiwambia humu Putin master plan muwe mnaelewa [emoji1787], Nato weusi endeleeni na nyuzi zenu za Himales sjui ndio nn, mtajua hamjui [emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
A month after #Russian passports have been given to certain #Kherson residents, the region decides to plan a referendum that will make it an entity of the Russian Federation.
#Russia
#Ukraine
![]()
Kherson to hold referendum to join the Russian Federation
Kherson region is set to hold a referendum to become a fully-fledged Russian Federation entity.t.co
unaandika km mtu timamu , hlf mtesekaji wa huo mfumo ni ww , Afrika ina wajinga wengi snNa kwamba hizo SARMAT zinaweza kubeba nuclear payload au conventional payloads kama thermobaric explosives au H.E., bottom line is: Miami sio mbali hata kwa hypersonic missiles and glide vehicles hawa jamaa wanajitafutia balaa - Dunia imebadirika sana, mambo ya kutamba tamba,viburi na ujeuri ndio zimeanza kukaribia tamati - Dunia itaanza kuongozwa kwa misingi ya multipolarity no more Unipolarity crap.
Putin ameanza kuchoka mkuu!Kila MTU atasikitika na huzuni kubwa kitakachotokea Ukraine hivi karibuni
Akaenda kwa Warusi na ndugu yake akapotezwa Russia sio ya mchezohata Hitler aliongoza ubaoni kwa miaka 4 sembuse kwa miez 5 huku akiteteleka dhid ya nchi moja tu
Sio kweli, labda ulikuwa mdogo au ulikuwa hujazaliwa. Daraja la kagera lililipuliwa na Amin, baada ya mabomu ya ndege zake kushindwa kulipua ndio akamfuata mlipuaji wa baruti kutoka iliyokuwa mgodi wa shaba kule Kasese, Uganda ndio akailipua.Military tactic..
Wanajeshi wa Tz walisambaratisha daraja la mto Kagera (ndani ya Tz) ili kuzuia wavamizi wa Uganda waliokuwa wanakaribia kuvuka pale!
Zamani 1978. Hivi uliona gari walizo tumia Jwtz kwenda vitani? Mabasi/lori. Uki tumia leo nyote ni marehemu.Military tactic..
Wanajeshi wa Tz walisambaratisha daraja la mto Kagera (ndani ya Tz) ili kuzuia wavamizi wa Uganda waliokuwa wanakaribia kuvuka pale!