Roman Empire ilichukua mambo mengi kutoka kwa utawala wa Wagiriki. Democracy, Philosophy, Michezo,Watu gani gao wanaofanya hayo madai ya dola ya Roma kuwa kubwa?
Lakini dola ya Roma ndiyo imekuwa na lasting impact kwa Western Europe civilization. Hauwezi kutenganisha hivgo vitu viwili.
nKwa nini watu wengi huwa wanaizungumzia Roman Empire kama himaya kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani au iliwahi hata kuitawala dunia wakati uhalisia ni tofauti kabisa?
Roman Empire kwa kipimo chochote kile sio mojawapo ya himaya kubwa duniani, hii ni Himaya iliyochukua eneo la Ulaya magharibi tu kwa ukubwa pamoja na Uturuki na mashariki ya kati kwa chache.
British Empire ndio Empire kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani ikifuatiwa na ya Wachina na Mongol.
Vinaitwa vita vya kidunia kwa sababu kila taifa liilishiriki, either kwa kuwa uwanja wa vita, kutoa askari, pesa, silaha, mahitaji ya kivita n.kKwani vita ya 1&2 (wwI & II) zilipigwana na Dunia nzima.
Roman empire ilitawala mda mrefu na kutawala wababe wote wa Dunia, Uingereza ilitawala mda mfupi tena kwakupewa baada ya vita ya pili ya Dunia.
Vita vya Kwanza vya Dunia na Vya pili vilipiganwa Dunia nzima!??.... Nasubiri jibu Ili nikuulize swali la nyongeza....Haijawahi kutawala Dunia, haijawahi kuwa empire kubwa kuliko zote za Dunia.
Roman Empire haijawahi kutawala dunia, Roman Empire ilitawala eneo la Ulaya magharibi tu, sehemu za Mashariki ya kati na Misri. Haikufika sub-saharan Africa, haikufika sehemu kubwa ya Asia kama huko India, China, Haikufika America.Kwa kipindi kile ilitawala dunia ndio maana sehem zilizo kua zina watu wengi ziliwekwa chini ya roman empire kamsome vizuri Julius Caesar ndo utajua.Tawala zilizo wahi kuitawala dunia ziko nne tu na Roman ndo ilikua ya mwisho na ilikua na nguvu sana ukitofaitisha na kipindi cha Alexander the great.
Roman Empire walikuwa wanajua kuhusu China na Silk Road japo hawakuwahi kufika.Mkuu unatakiwa ujue kuwa huwa inasemwa kuwa walitawala dunia 'iliyokuwa inajulikana kwa wakati huo". Na kumbuka kwakuwa wao wenyewe ndio waliandika na hawakuwa wanajua sehemu nyingine zaidi ya wao walipokuwa basi walikuwa sawa kimantiki.
Lakini kadiri siku zilivyoenda na sehemu zote za dunia kujulikana basi kauli ya kwamba walitawala dunia inawatatanisha msioweza kung'amua nilichoandika kwenye aya hiyo ya kwanza.
Nadhani waliopita wamelkuelezea vizuri mkuu...Roman Empire haijawahi kutawala dunia, Roman Empire ilitawala eneo la Ulaya magharibi tu, sehemu za Mashariki ya kati na Misri. Haikufika sub-saharan Africa, haikufika sehemu kubwa ya Asia kama huko India, China, Haikufika America.