Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Kuitawala Dunia enzi hizo ilikuwa ni maeneo ya Ulaya,Mashariki ya kati,Afrika Kaskazini hasa Misri na Mashariki ya mbali,na ndio maana kuna Himaya nazo zilikuwa zikidai zinaitawala Dunia,mfano Babeli,Uajemi,Ugiriki.
Ulipoanguka utawala wa Ugiriki ndipo wakaja Waroma,kulikuwa na Roma ya Magharibi(Ulaya) na Mashariki(Asia).
Upande wa mashariki ulianguka mapema kutokana na Waroma kuwekeza nguvu kwenye Jeshi upande wa Magharibi na vijana wengi badala ya kutumika kuzalisha wao walienda jeshini na huku viongozi wakitafuna keki ya dola.
Hawakuingia China ambako walikuwa wanaitaka "Silk Road" kutokana na kuona kuwa Wachina wana idadi kubwa ya Jeshi na kupigana nao hawatoweza.
Baada ya kuanguka Mashariki sasa baadhi ya himaya za magharibi zikaanza kujikomboa mf,Uingereza ilipata uhuru karne ya 4 na moja ya madhara hadi leo huko Glasgow Scotland waumini wa RC na Protestant hawapatani kabisa na wamewekewa uzio,sasa ole wako wewe RC ikatize anga za Protestant.
Baadae himaya mbalimbali za Ulaya zikaanza kujikomboa na Roma akabaki na maeneo ya Ugiriki,Uturuki,Italia ya leo,Spain,Ureno,visiwa vya Cyprus,Crete na Sisilia.
Miaka ya baadae kuja kwa Wamongoli na Waturuki,kulileta athari kwa Roma,Wamongoli waliteka Ulaya Mashariki na kuanza safari ya kuelekea Magharibi na Papa akamtuma Kasisi....................nitandelea