Himaya ya kirumi(Roman Empire) haijawahi kutawala dunia

Himaya ya kirumi(Roman Empire) haijawahi kutawala dunia

Kuitawala Dunia enzi hizo ilikuwa ni maeneo ya Ulaya,Mashariki ya kati,Afrika Kaskazini hasa Misri na Mashariki ya mbali,na ndio maana kuna Himaya nazo zilikuwa zikidai zinaitawala Dunia,mfano Babeli,Uajemi,Ugiriki.
Ulipoanguka utawala wa Ugiriki ndipo wakaja Waroma,kulikuwa na Roma ya Magharibi(Ulaya) na Mashariki(Asia).
Upande wa mashariki ulianguka mapema kutokana na Waroma kuwekeza nguvu kwenye Jeshi upande wa Magharibi na vijana wengi badala ya kutumika kuzalisha wao walienda jeshini na huku viongozi wakitafuna keki ya dola.
Hawakuingia China ambako walikuwa wanaitaka "Silk Road" kutokana na kuona kuwa Wachina wana idadi kubwa ya Jeshi na kupigana nao hawatoweza.
Baada ya kuanguka Mashariki sasa baadhi ya himaya za magharibi zikaanza kujikomboa mf,Uingereza ilipata uhuru karne ya 4 na moja ya madhara hadi leo huko Glasgow Scotland waumini wa RC na Protestant hawapatani kabisa na wamewekewa uzio,sasa ole wako wewe RC ikatize anga za Protestant.
Baadae himaya mbalimbali za Ulaya zikaanza kujikomboa na Roma akabaki na maeneo ya Ugiriki,Uturuki,Italia ya leo,Spain,Ureno,visiwa vya Cyprus,Crete na Sisilia.
Miaka ya baadae kuja kwa Wamongoli na Waturuki,kulileta athari kwa Roma,Wamongoli waliteka Ulaya Mashariki na kuanza safari ya kuelekea Magharibi na Papa akamtuma Kasisi....................nitandelea
 
Kwa nini watu wengi huwa wanaizungumzia Roman Empire kama himaya kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani au iliwahi hata kuitawala dunia wakati uhalisia ni tofauti kabisa?

Roman Empire kwa kipimo chochote kile sio mojawapo ya himaya kubwa duniani, hii ni Himaya iliyochukua eneo la Ulaya magharibi tu kwa ukubwa pamoja na Uturuki na mashariki ya kati kwa chache.

British Empire ndio Empire kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani ikifuatiwa na ya Wachina na Mongol.
Mimi sikuona utawala wa Kirumi lakini shule kila darasa unalovuka kwenda lingine ni namba za kirumi, hata saa niliyovaa sasa hivi ni namba za kirumi, sasa hili haliwezi kuwa limetokea kwa bahati mbaya tu.

Labda nikufumbuwe macho katika kile usichokijuwa, ukiona kanisa Roman Catholic, Orthodox, Anglican, Lutheran, Coptic, Moravian na Pretybesirian hayo yote ni kanisa moja katoliki kasoro tu hao wengine walikataa kureport kwa Papa Vatican.

Kwahiyo popote unapoyaona yalipo hayo makanisa elewa ni ukoo mmoja wa kanisa katoliki na ndio dola la Rumi under cover.

Tundu Lisu na Alluthe Mughwai ni mtu na kaka yake wote ni mawakili baba mmoja na mama mmoja, lakini majina yao ubini haufanani, hii haiondoi ukweli kwamba hao wamezaliwa tumbo moja na baba mmoja.
 
WORLD kwa zama zile walikua wanamaanisha maeneo ya dunia wanayo ishi na kuyajua watu wa Ulaya

Wakati ule walikua hawajui au wanajua kwa uchache sana kuhusu Afrika, Asia, Amerika nk
Roman catholic church ni universal church lakini ukweli huwezi kulikuta kila mahali duniani.
 
Roman Empire walikuwa wanajua kuhusu China na Silk Road japo hawakuwahi kufika.
Haijalishi, na kusema walikuwa wanajua inamaana kulikuwa na some sort of contact kati yao. Silk road ili exist kabla hata ya formation ya Roman Empire.

Point yangu ni kuwa hao ancient historians waliandika hizo historia kwa kuzingatia maeneo waliyoyajua wao au empire zao ziliyoyatambua tu hawaku borther kuwaza kuna kuna mahali pengine beyond maeneo yao waliyokuwepo.

Japo btw conquests zilikuwa zinatabia ya ku expand empires kadiri ya muda (refer Alexander The Great na Genghis Khan)
 
Hata vita vya dunia vilikua vita vya makabila tu huko Ulaya wakaita vita vya dunia, of course nchi zingine za mbali ziliingia vitani eventually. I guess ukiiteka Ulaya unakua umeteka dunia hasa kwa kipindi hicho.
 
Kwa nini watu wengi huwa wanaizungumzia Roman Empire kama himaya kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani au iliwahi hata kuitawala dunia wakati uhalisia ni tofauti kabisa?

Roman Empire kwa kipimo chochote kile sio mojawapo ya himaya kubwa duniani, hii ni Himaya iliyochukua eneo la Ulaya magharibi tu kwa ukubwa pamoja na Uturuki na mashariki ya kati kwa chache.

British Empire ndio Empire kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani ikifuatiwa na ya Wachina na Mongol.
kasome Q"RAN TUKUFU" suratul AL-RUMMI-ndo utaelewa!!!,,,then BRITISH EMPIRE haikutawala dunia nzima,badala yake ilitawala baadhi ya maeneo kama vile,AMERICA,CANADA,baadhi ya nchi za ASIA na AFRIKA,yaani nchi nyingi zinzoongea kiingereza ndo zilitawaliwa na waingereza,pia kulikuwa na dola la WARENO na nchi zilizotawaliwa na URENO ni MSUMBIJI,ANGOLA,PUERTO RICO n.k....anyway na madola mengine kama UJERUMANI,ITALIA,WAGIRIKI n.k..kwa mfano,mkutano wa kuigawa AFRIK ulifanyika mji uitwao BERLIN na mkutano ukijulikana kama BEIJING CONFERENCE....ok,tuje ka nini ROMA inaonekan ilitawala DUNIA,ROMA ilitawala DUNIA kupitia dini ya kikristo,chini ya mwavuli wa dhehebu la ROMAN CATHOLIC,,,,na ndo manake kwenye Q"RAN ikashuswa hiyo aya iitwayo AL-RUMMI,manake "RUMMI MUST BE DEFEATED" yaani DOLA LA KIRUMI lazima liangshwe, na ndo ikaanza vita ikiongozwa na ISLAMIC,lengo likiwa kutanuwa wigo wa kiislam na ndo chanzo cha ISLAMIC STATE,wa2 wengi wanafikiri ISLAMIC STATE imeanza juzi,ina mamia ya miaka kama sio maelfu ya miaka,,,basi bwana,vita ilipigwa mpaka kweli ROMA ikaporomoka na WAISLAM wakamtawadha KHALIFA wao wa kwanza, basi ROMA wakajipanga upya,na baada ya miaka mingi wakaanzisha vita ijulikanayo kama VITA YA MSALABA!!!...ok,baada ya vita wakafanikiwa kurejesha maeneo kadhaa kama SPAIN,FRANCE,na baadhi ya maeneo kama AFRIKA KASKAZINI kama LIBYA,MISRI.n.k lakini kwa bahati mbaya tayari UKRISTO ulishaanza kugawanyika,mfanokukawa na madhehebu ya ORTHODOX,LUTHERAN chini ya MARTIN LUTHER KING, THE CHURCH OF ENGLAND {ANGLICAN},anyway,baadae na AMERIKA baada kupata uhuru,wakaja na haya madhehebu ya kilokole{BORN AGAIN] hapo ndo ROMA ilipolala chali!!! au sio man!!
 
Back
Top Bottom