Hamna lolote, kama ilikua bora mbona walishindwa kuchukua ubingwa uefa?Wakubwa wenzangu mimi ninaamini kwa.miaka yetu ile hii ndio real mardid bora zaidi iliyowahi kutokea duniani..hebu wakuu leta maoni yenu hapaView attachment 455583
Alikuwa hajulikaniYaani Sergio Ramos hayumo, hata benchi?
Beckham kwa lipi??Wakubwa wenzangu mimi ninaamini kwa.miaka yetu ile hii ndio real mardid bora zaidi iliyowahi kutokea duniani..hebu wakuu leta maoni yenu hapaView attachment 455583
Nilichukia sana kumuuza makelele hicho kipindi.Wakubwa wenzangu mimi ninaamini kwa.miaka yetu ile hii ndio real mardid bora zaidi iliyowahi kutokea duniani..hebu wakuu leta maoni yenu hapaView attachment 455583
ZIDANE NDIO ALIFUNGA GOLI KUTOKA KWA ROBERTO.CARLOS MBONA SIMUONIHiyo Ni Real Uliyoiyona Wewe tu Kulingana Na Kuifahamu Kwako.......
Yaani Katika Real Mbovu Kabisa ni Hiyo Real Ya Kina Beckam na Cambiasso iliyokuwa ikinyanyaswa na Gaucho.......
Yaani Bora Hata Ungeipa Credit Real Hii iliyotwaa Champion League Mwaka 2000 Kwa Kumchapa Valencia 3 - 0 ningelikufahamu.....
View attachment 457641
Salgado siku anahama toka real club celta de vigo unaambiwa kulikuwa na maandamano makubwa kupinga kuhama kwake.salgado. alipata sana tabu kwa Gaucho hicho kikosi kilifungwa na barc na Gaucho mechi mbili zote alitupia ya kwanza mbili bila bernabeu na ya pili tatu bila Catalunya..
ZIDANE NDIO ALIFUNGA GOLI KUTOKA KWA ROBERTO.CARLOS MBONA SIMUONI
Sasa hapa Ndiyo Umeuliza nini na Umeongea nini? ulichotaka wewe ni Nani Aliyesajili Mwanzo, au Unachotaka wewe ni aliyesajili tu?Nje ya mada.
Hivi kati ya Real Madrid na fc Barcelona
nani mkali kwa kusajili wachezaji wakali?
Kwangu mimi Barcelona ni wakali. Watu kama Maradona na Requelme hawa wote wamevaa jezi za Barcelona.
Di lima mwenyewe Barcelona tumewauzia baadae tukawauzia tena luis figo
Barcelona ni wajanja kuliko Madrid linapokuja swala la usajili.
Unatawaza auToeni utumbo wenu hapa., sio kila mtu anapenda mpira.., especially ushabiki wa timu za nchi ambazo hata hujawahi tia mguu.., pelekeni jukwaa la michezo huko