Hio ndio Real Madrid iliyowahi kuwa bora zaidi duniani

Hio ndio Real Madrid iliyowahi kuwa bora zaidi duniani

Enzi hizo ukisema Ronaldo dunia nzima inakuelewa kuwa unamzungumzia De Lima na sio Cristiano
 
mkuu yomboo kweli kabisa ukikuta mwanaume hapend ball kuna.shida fulani hapo..
 
salgado. alipata sana tabu kwa Gaucho hicho kikosi kilifungwa na barc na Gaucho mechi mbili zote alitupia ya kwanza mbili bila bernabeu na ya pili tatu bila Catalunya..
 
Utumbo

Mtoa post hujui mpira.

Hiyo ndio real Madrid mboooooovu

Mpaka capello aliwaita wavulana

Hicho kikosi hakina uefa
Kina la liga moja tu

Au kisa umeona majina Beckham,de Lima

Madrid hyo ilikuwa mdebwedo
 
Hii real maldrid ilikuwa mbovu haijawahi tokea, majina tu ndo yalikuwa yamejazana walikaa misimu 4 bila LA LIGA.
 
Kikosi kizuri cha madrid ni kile kabla ya kina zidane, beckam na figo hawajaingia. Pale nyuma ktkt alikuwa anasimama mtu mmoja mrefu sana nmemsahau kdogo.
 
Sijawahi ona namba 9 kama Ronaldo De Lima, hawa wengine naona wanabeba tuzo kwa ajili ya pesa tu.
 
Hiyo Ni Real Uliyoiyona Wewe tu Kulingana Na Kuifahamu Kwako.......
Yaani Katika Real Mbovu Kabisa ni Hiyo Real Ya Kina Beckam na Cambiasso iliyokuwa ikinyanyaswa na Gaucho.......

Yaani Bora Hata Ungeipa Credit Real Hii iliyotwaa Champion League Mwaka 2000 Kwa Kumchapa Valencia 3 - 0 ningelikufahamu.....

2017-01-10_18.31.04.jpg
 
View attachment 457641
ZIDANE NDIO ALIFUNGA GOLI KUTOKA KWA ROBERTO.CARLOS MBONA SIMUONI
 
salgado. alipata sana tabu kwa Gaucho hicho kikosi kilifungwa na barc na Gaucho mechi mbili zote alitupia ya kwanza mbili bila bernabeu na ya pili tatu bila Catalunya..
Salgado siku anahama toka real club celta de vigo unaambiwa kulikuwa na maandamano makubwa kupinga kuhama kwake.
 
Nje ya mada.

Hivi kati ya Real Madrid na fc Barcelona nani mkali kwa kusajili wachezaji wakali?

Kwangu mimi Barcelona ni wakali. Watu kama Maradona na Requelme hawa wote wamevaa jezi za Barcelona.
Di lima mwenyewe Barcelona tumewauzia baadae tukawauzia tena luis figo
Barcelona ni wajanja kuliko Madrid linapokuja swala la usajili.
 
ZIDANE NDIO ALIFUNGA GOLI KUTOKA KWA ROBERTO.CARLOS MBONA SIMUONI

We kweli wa juzi, hiyo umeambiwa Zidane alikuwa bado hajajoin, Zidane kafunga goli kwa mguu wa kushoto fainali ya mwaka 2002 dhidi ya Bayer Leverkusen ya kina Michael Ballack.
 
Nje ya mada.

Hivi kati ya Real Madrid na fc Barcelona
nani mkali kwa kusajili wachezaji wakali?

Kwangu mimi Barcelona ni wakali. Watu kama Maradona na Requelme hawa wote wamevaa jezi za Barcelona.
Di lima mwenyewe Barcelona tumewauzia baadae tukawauzia tena luis figo
Barcelona ni wajanja kuliko Madrid linapokuja swala la usajili.
Sasa hapa Ndiyo Umeuliza nini na Umeongea nini? ulichotaka wewe ni Nani Aliyesajili Mwanzo, au Unachotaka wewe ni aliyesajili tu?

Barcelona Katengeneza Figo mpaka Akawa na Jina, Hatimae Real Kamnyakua Figo Mwenye Jina na Kumsajili....

Bacelona huyu huyu Kamtengeza Ronaldo Mpaka Kawa na Jina, Hatimae inter/Real Kamnyakuwa Na Kumsajili Ronaldo mwenye Jina.....

Man U wamemtengeza Beckam na Ronaldo Mpaka Wamekuwa na Majina! Hatimae Real Kasajili....

The Same Kwa Kaka, McManaman, Owen, Anelka, Zedane.....

Sasa Hapo Nani Mkali Wa Kusaini....?

Mkuu Nahisi Ungefafanua Kuwa Barcelona ni Mkali Wa Kuibua Vipaji tu na Wala Si Wakusaini....

Halfu Mkuu inaonesha Hujawahi Muona Maradona Aliyeichezea Barcelona! Huyu Alikuwa ni Sawa na Yule George Apong Weah aliyeichezea Chelsea.....

Maradona alikuja Barcelona Kumalizia Umri Wake tu na Ndiyomaana Kiwango Chake Kwa Wakati Huo Kilimtia Aibu Kwenye Final ya Champion League Kati ya Barcelona vs AC Milan... Unakijua Kiama Kilichowatokea Barcelona kwa Milan????
 
Hiyo siyo madrid bora, madrid bora kupata kutokea ni iliyojumuisha watu hawa

1. Iker Cassilas
2. Michel Selgardo
3. Roberto Carlos
4. Ivan Helguera
5. Fernando Hiero
6. Fernando Redondo
7. Luis Figo
8. Jose Marie Gutierez H.
9. FernandoMorientes
10. Raul Gonzalez
11. Zinedine Yazid Zidane

De lima, wala Beckham walikuwa hawajafika madrid kipindi hicho. Hawa waliikuta madrid inaanza kuporomoka.
 
Back
Top Bottom